Imagination juu ya masupastaa wa JF

Imagination juu ya masupastaa wa JF

Masupa sta wa JF ndo kina nani??

Tutajieni tuweke comments zetu maana mie siwajui naona umetaja wanne tu
 
yani ninaimagine
Fidel kafanana na joseph warioba
Asprin kafanana na steven wasirra
pakajimy kafanana na edward lowassa
GY kafanana na david matayo
FL1 kafanana na gertude lwakatare
 
yani ninaimagine
Fidel kafanana na joseph warioba
Asprin kafanana na steven wasirra
pakajimy kafanana na edward lowassa
GY kafanana na david matayo
FL1 kafanana na gertude lwakatare

Mtumeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
There are currently 12 users browsing this thread. (6 members and 6 guests)

Askofu,
Mbaba mrefu wastani, ana kitambi cha kiti moto, maji ya kunde, mpenda waumini wake!!
 
yani ninaimagine
Fidel kafanana na joseph warioba
Asprin kafanana na steven wasirra
pakajimy kafanana na edward lowassa
GY kafanana na david matayo
FL1 kafanana na gertude lwakatare

OOH I SEE KUMBE NAHITAJI DIET YA NGUVU :wink2::ranger:
 
mmh! kukata mzizi wa fitina hebu JF arrange get together ya wana jamii wote wakutane kila kule walipo km ni Dsm, Mwz, Mbeya n.k
hapo ndo patakuwa patamu sasa.....:mullet::mullet::mullet::mullet:
 
yani ninaimagine
Fidel kafanana na joseph warioba
Asprin kafanana na steven wasirra
pakajimy kafanana na edward lowassa
GY kafanana na david matayo
FL1 kafanana na gertude lwakatare

Amen!!
 
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!


Hallelluyah!!!
 
Humu mnapatiana picha mkiwa bafuni au wapi?
Nilikuwa napita tu. Mkinionea la ubani wangu mnistue.
 
I
There are currently 12 users browsing this thread. (6 members and 6 guests)

Askofu,
Mbaba mrefu wastani, ana kitambi cha kiti moto, maji ya kunde, mpenda waumini wake!!
Japo nilikuwa napita, lakini hii nimeiona.
Nafimiri ndo post of the week. Kimey wewe ni kichwa. Endelea kuuza sera kwa watanganyika wa nyololo.
 
:A S 13: yani kwa imaginations, naweza kusema mara zote nilivyokua nawafikiria wana JF nilikosea.... our words and avatar mara nyingi zimekua what we dream to be but not what/who and how we are

Well Said Kaka
 
Mimi ningependa kujua maralia sugu yukoje, can someone describe him? DaMie sikusikii upo? au umesusa!!!
 
Back
Top Bottom