Kuitambua IQ ya mtu silazima mpaka umuone tu, jipange. Wenye uelewa tumeshakuelewa hata kwa mabandiko yako tu humu.kwani wewe ulijua kila kitu bila kufundishwa?nataman tungekuwa live pamoja halafu tupimwe IQ zetu, labda tungeelewana zaidi.
Wako wengi wanabebeshwa funguo za magari na kuambiwa makanisani waendeshe magari hewani eti baada ya muda fulani watapata magari kweli....Imani inaruhusu uamini hata babu yako mungu.
Lakini, ukiamini babu yako mungu, hilo halimfanyi babu yako kuwa mungu.
...Na huyo NENO alikua ni YESU???......... Halafu je kwanini wanafunzi wa yesu hawakumuabudu wakati ule, miake 300 baadaye ndio aabudiwe ??????
Kuitambua IQ ya mtu silazima mpaka umuone tu, jipange. Wenye uelewa tumeshakuelewa hata kwa mabandiko yako tu humu.
Kuna vitu vya maana vya kufundishwa wewe, lakini sio katika ujinga kama huo wa kuaminishwa eti lipicha fulani ndilo Bikra maria au Yesu. Halafu unakua mbishi utafikiri ulimpiga picha wewe.
Ifike wakati Wakristo tuache kuabudu masanamu tuige wenzetu Waislamu, hata siku moja hutawaona wakionyesha mapicha ya uongo eti huyu ndiye Mtume SAW, Maswahaba au Khadija....
kwani wewe ulijua kila kitu bila kufundishwa?nataman tungekuwa live pamoja halafu tupimwe IQ zetu, labda tungeelewana zaidi.
Kuitambua IQ ya mtu silazima mpaka umuone tu, jipange. Wenye uelewa tumeshakuelewa hata kwa mabandiko yako tu humu.
Angalia jinsi unavyojichanganya mpaka huruma. Ulidhani ukileta post za kitoto humu utapata sapoti tu!!!kama vile tulivokuelewa wewe...
Kama kuabudu ni huko kuaminishwa katika masanamu ya picha kama wewe, kwa mtazamo wako acha niendelee kutojua kuabudu. Mimi ninayemuabudu yupo ndani yangu namuona katika roho na siyo kwenye mapicha ya uongo kama ibada yako....PERIODmtu usiyejua hata maana ya kuabudu ndo unajinasibu hapa kuwa u mkristo???wanaoelewa wameshakuelewa.
Angalia jinsi unavyojichanganya mpaka huruma. Ulidhani ukileta post za kitoto humu utapata sapoti tu!!!
Wako wengi wanabebeshwa funguo za magari na kuambiwa makanisani waendeshe magari hewani eti baada ya muda fulani watapata magari kweli....
kiranga Kiranga... so who made the universe??.?Unachekesha.
Unasema.
1. Our universe could not have come from nothing.
2. Our universe must have come from something.
3. Therefore god must exist.
Hapo namba tatu ni bonge la Non Sequitur. Why should the cause be god by default?
The fact that the universe must have come from something does not necessarily mean it must have been made by god.
The human mind is naturally disposed to be attracted by the fantastic rather than the actual, the fabulous rather than the truth, the fanciful rather than cold facts.
kiranga Kiranga... so who made the universe??.?
Mkuu Kiranga upo?
Hata nisipokuwepo, kivuli changu kilicho katika mawe niliyoangusha hapa JF kitakutosha kama dozi ya ugonjwa wa ujinga kwa angalau wiki moja ijayo.
Assume unakuwa mwalimu wa math wa Kiranga😊 then umfundishe " any number divided by zero gives infinity" atabomoa shule aisee😀😀😀😀
Any number divided by zero is not infinity.
In mathematics, division by zero is not logical.
Guess you have some kind of comedian talent or something...?
You are the comic one.
Do you even understand my retort?