Image conveter

Image conveter

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,749
Reaction score
7,024
Tafadhali naomba mwenye hiyo programu anisaidie,
zaidi tukutane Pm.
Natanguliza shukrani wadau.
 
Unataka kwa ajili ya kufundishia au kwa matumizi yako binafsi tu? nenda hapa ka-convert picha zako bure
 
Unataka kwa ajili ya kufundishia au kwa matumizi yako binafsi tu? nenda hapa ka-convert picha zako bure
kukonvet passport kwa ajili kufanya online registration ya CSEE ,
Ahsante sana mkuu ngoja nifanyie kazi then ntarejesha feedback
 
kukonvet passport kwa ajili kufanya online registration ya CSEE ,
Ahsante sana mkuu ngoja nifanyie kazi then ntarejesha feedback
  • Ni vyema ukatafuta na kujifunza kutumia adobe photoshop
  • Waweza kupunguza ukubwa wa picha paka kufikia KB ambazo zinatakiwa zitumike, Pia waweza fanya conversion ya hizo image
  • Kumbuka leo unafanya online registration, siku zijazo waweza pata kazi ya kuandaa CSEE PHOTO ENTRY FORM
  • Hivyo utakuwa katika nafasi nzuli ya kucheza na picha.
yqosb0h2r7w346w7agxi.jpg
 
Back
Top Bottom