I'm sorry Baby

I'm sorry Baby

I'm sorry.." In respectable manner en in meanifull way.... Itakua sahihi LA sivyo itakua kutimiza wajibu... Mwsho penzi litapea
 
Mnapenda eeeh
Km ulivyosema babu km mpenzi wako amekukosea ukamuomba samahamni,,, unadumisha mapenz yenu. ....kupenda huko kawaida km mm napenda kweli kudeka babuuu kwahiyo nikinuna kuna kazi ya ziada,...
 
Aseee wanaume wachache saana wanaoweza kulitamka hilo neno ,, akikuuzi utasikia yaishe bhana tubadili madaa ,,,, I'm sorry baby tena kiromantiki mmmh km nilishawahi kumpata wa hivi ngoja nikafikilie naludii


Aiseee akisha kwambia hivyo Basi moyo unasuuzika kabisa
 
Back
Top Bottom