sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,821
Kofia..koti...na fimbo.Muda wowote kumbukeni tu viwalo vya babu
Au wewe Mzee wa dar
Kofia..koti...na fimbo.Muda wowote kumbukeni tu viwalo vya babu
Ha ha ha haUkishamzoea unachukulia kawaida tu... uzuri wa wanawake waongeaji kumweka sawa ni dakika sifuri
Teh hapa utagonga mwamba. Kama hutaki kuomba msamaha better unyamaze kuliko kunigeuzia kesiKesi lazima ugeuziwee.....tena utaanza wewe kuomba msamaha.
Wanaume tunazijua akili zetu
Haha wana hila hawaNawanapenda sana kurudia rudia makosa ysliyopita km kosa ulifanya wrwe
Eeh uncle unapenda kulala tehPia inategemea na aina ya watu.. mimi kama najua nimekosa mbona hadi utasahau maana utachekaa weee kuja kushangaaa tupo kitandani tumelala![]()
Unajua kesi inageuzwa pale unapo anza kuwa onaongea ongea saana kuna maneno tuu utapitiwa.......hayo maneno ndio inakuwa agenda na kesiTeh hapa utagonga mwamba. Kama hutaki kuomba msamaha better unyamaze kuliko kunigeuzia kesi
Mmh me hujanibambika kesi aiseeUnajua kesi inageuzwa pale unapo anza kuwa onaongea ongea saana kuna maneno tuu utapitiwa.......hayo maneno ndio inakuwa agenda na kesi
Utakubali tuu.....
Kesho shopping inahusika
Hahaha...
Hapa mjini lazima uwe mjanjaa
Safi..pongezi yakoHapana bwana ni real