I'm sorry Baby

I'm sorry Baby

Kashindwa kumwambia I'm sorry husna
hahhaha huyo kamuacha mtto wa watu mbele ya watu sio vizuri ujue sumbai ila husna tulimwambi lkn

au sumbai mambo ya mita 200 nitumie picha mtu kabadili gear angani

unajua huu msemo wako utakua umehusika mm nauheshim sana
 
Katika mahusiano kuna purukushani na kukoseana kwingi saana. Wanawake ni watu wa emotions akikereka lazima ujue while men tunaweza kuyaweka..kuyasahau na siku zikaenda. Ila Wanawake wanajua kununa na hata kudiriki kufika kukataa kuongea na wew, aidha tatizo liwe kubwa au dogo..ndivyo walivyo uwe umemjibu vibaya, kumtukana ndugu yake au kumkatalia maoni yake Yeye atanuna Tuu. Unapogundua umemkosea mpenzi wako.. usipanic na wewe...

Neno I'm sorry ni neno linaloweza kudumisha mahusiano yako na kuyafanya yawe ya kipekee pindi unapomkosea mpenzi wako.. romantically, tengeneza mazingira kisaikolojia, mfanye mpenzi wako atabasamu, ikiwezekana mpe kizawadi hata kidogo, mwangalie usoni, ikiwezekana mkumbatie kimahaba then say to her BABY I'M SORRY. Kama ni mwelewa na sio mtu wa ligi dakika sifuri tu analegea na mambo yanakuwa ok. Jifunze kusema I'm sorry mahusiano yako yatakuwa ya kipekee saana.

Note: neno hili litumike sehemu sahihi sio kila dakika tu I'm sorry baby, samahani honey.. mwanaume utashusha hadhi yako.

Kashindwa kumwambia I'm sorry husna
Bro nimeachika mimi
hahhaha huyo kamuacha mtto wa watu mbele ya watu sio vizuri ujue sumbai ila husna tulimwambi lkn

au sumbai mambo ya mita 200 nitumie picha mtu kabadili gear angani

unajua huu msemo wako utakua umehusika mm nauheshim sana
Mlimwambia nini... mimi ndiye nimeachika
 
hahhaha huyo kamuacha mtto wa watu mbele ya watu sio vizuri ujue sumbai ila husna tulimwambi lkn

au sumbai mambo ya mita 200 nitumie picha mtu kabadili gear angani

unajua huu msemo wako utakua umehusika mm nauheshim sana
Dah Sasa hakujua formula ya first date????

Daby unatakiwa unakaa mita 200 kisha unajiridhisha...... Ukiona Tbs imekataaa unazima simu.
 
Aseee wanaume wachache saana wanaoweza kulitamka hilo neno ,, akikuuzi utasikia yaishe bhana tubadili madaa ,,,, I'm sorry baby tena kiromantiki mmmh km nilishawahi kumpata wa hivi ngoja nikafikilie naludii
 
Back
Top Bottom