Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Afu nilijua ni kidume huyo uuupsss hii faraja nitaihamishia kwako....
Upo wapi?una qualifications gani??Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
what does not kill you, makes you stronger
kumbe ana kizaigoti?
hata mim nipo down sana,
hapo mbwa mwitu wa jf wanaokimbiliaga pm watakuwa wamefunga breki kali mno!!! Hahahaha......
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
shukrani zangu za dhati kwenu wote mnaojitolea muda wenu kunipa maneno ya kunitia nguvu. wanawake wanapitia mengi ni vile hawawezi kufunguka wote. raha mnapata wote na ahadi anakupa nyingi sana. linapokuja swala la matokeo ya raha anatoa udhuru. wanaume walio wengi mnabeba laana pasipo kujua. kwangu nimesamehe. nimeamua kutembea na huu mzigo kwa miezi yote saba iliyobaki. nimesoma kisa cha millen magese ambae ametafuta mtoto kwa miaka mingi kwa nini mimi niitoe hii mimba
Hapo mbwa mwitu wa JF wanaokimbiliaga PM watakuwa wamefunga breki kali mno!!! hahahaha......
Upo wapi?una qualifications gani??