Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Just tambua kwamba siku hazifanani, wewe unapanga na Creator naye alishapanga. N a kushindwa leo ndio mwanzo wa mafanikio ya kesho. Hauko pekeyako kuna walioshindwa makubwa kuliko wewe. Wapaswa kumshukuru Mungu kwa kukuwezesha kufanya na kufanikisha hayo machache uliyoweza.
^^
Usiumie zaidi, kwani safari ya maisha haikuwahi kuwa rahisi kwa yeyote aliyepangiwa mafanikio! Legeza mwili.. Kama leo umekwama kesho itafunguka! Utafurahi.. Ndiyo huhitaji kuamini kila mtu ila unahitaji kuamini katika wewe! Rudi katika nafasi yako! Jipende! Jijali! Furahia.
Dont worry too much about tomorrow for God has been there for you!
Remember to smile inside yourself
^^
Pole kila jambo hutokea kwa sababu,pamoja hatujui kinachokusibu jipe moyo utavuka salama,chukulia mfano mdogo wa mkondo wa maji na tabia zake,maji yanapotiririka yakikuta kizuizi huwa na choice 3,moja kama kizuizi ni kidogo hukiondoa yaendelee na safari,kizuizi kikiwa kikubwa hufanya maamuzi either yapishe kizuizi pembeni yaendelee na safari au yatulie yakusanyike yawe mengi na hatimaye yakivuke kile kizuizi,daima hayarudi nyuma ,nawe usikate tamaa vua viatu kung'uta vumbi songa na life.
Maisha ni mapito rafiki na yamejengwa na changmoto nyingi!bila changamoto maisha haya yangekuwa yanaboa sana.changamoto hizo zinapima uvumilivu wetu na uwezo wetu wa kuchanganua vitu kwa maarifa.Chukulia haya unayoyapitia sasa ni mapito katika maisha wakati wa kuvuna utafika na utasahau machungu na maumivu yote!
Polee ndo maisha ..bila kuijua hatuwezi thamini shibe
Just hang in there...hang tough though!
Usitoe mimba mwaya, mpango wa mungu huo....
Afu nilijua ni kidume huyo uuupsss hii faraja nitaihamishia kwako....Mwili?...nmetamani mbona.
Afu aliekiwekamo hakitaki etikumbe ana kizaigoti?
kumbe ana kizaigoti?
we hamisi.
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
hata mim nipo down sana,