Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Nakosa lugha ya kuandika hapa marafiki zangu
NINACHOHITAJI KWENU MNISAMEHE KWA YOTE YALIYOTOKEA
JANA SITOPENDA KUSEMA YALIYONISIBU niko na stress bado
WAKO WALIOSHTUKA NA WAKO NILIOWAUDHI PIA.
NYOTE NAWAOMBA MNISAMEHE NA MNIOMBEE KWA MUNGU
kwani niko njia panda sijielewi niko so confused naona giza
mbele yangu akili imechanganyikana, sijui niseme nini
MNISAMEHE KWA YALIYOTOKEA MNISAMEHE
Daddy watu8 NISAMEHE SANA TENA SANA
NAJUA SISTAHILI KUITWA MWANAO TENA BALI
NAOMBA UNISAMEHE NIWEKE MKONO WAKO KULIA
MM NI MTOTO WAKO, USINITUPE NAITAJI MSAADA WAKO
KWA SASA NIKO NJIA PANDA SIJIELEWIELEWI DADDY
PLS NIGHOBHOKELE DADDY
​hi babe sosoliso!!!Kuna mabaazazi ya kike..? Nawafikiria wachache hapa..
nimekumiss pacha wangu jamani, natamani nikutumie kitu cha kukufurahisha leo
Hicho hicho kizee ndo kimetaka kumuua dada yenu
nimekumisi pia pacha,hebu nitumie
japo nicheke maana siku ya leo nimenuna
asbh mpaka jioni walah!!
Mmmmmhhh!!!!! Leo hali si hali? Anyway mda ukifika tutacheck itakuaje
Kinawadanganya na pipi kifua halafu kinasepa
poa, ila usifanye late sana kama jana basi
Nani huyo atakaejaribu shem..?
nimewavumilia nimeshindwa
sijui Arushaone kasafiri?!!
pacha si wewe na Nicas Mtei?pacha kwani vipi jamani?
hahahaaa!!nimekiona pachanadhani umeshakiona pacha, ngoja nikutumie kingine... Natamani na ladyfurahia angekuwepo pande zile nadhani ingempa ahueni ya stress