I can't wait... ila mtambulishe hata kwangu basi asije kutuchanganya mchana kweupe!bora hivyo vizee vimepotea tujiachie wenyewe. Naenda kubadili nguo halafu nakuja na shemeji yako. (usiseme, si unajua hajatambulishwa rasmi).
Nisha opoautaunguza??!!
I can't wait... ila mtambulishe hata kwangu basi asije kutuchanganya mchana kweupe!
akiremba remba mimi nitamtaja live 🙂I can't wait... ila mtambulishe hata kwangu basi asije kutuchanganya mchana kweupe!
mtaje ntakupa zawadiakiremba remba mimi nitamtaja live 🙂
akiremba remba mimi nitamtaja live 🙂
mtaje ntakupa zawadi
hehehe mtaje basioxford university wanafundisha udaku?
hehehe mtaje basi
hahaha ngoja mwali aje na zawadi kwanzasitaki
hahaha ngoja mwali aje na zawadi kwanza
ni......mwai bipe zawadi basi , ahadi ni deni ohooo!!!!!!!!kwani wewe unamjua desh desh wangu? Hebu ninong'oneze kwanza usije ukamdanganya mwali.
maandazi kwanza... lolni......mwai bipe zawadi basi , ahadi ni deni ohooo!!!!!!!!
Huwezi kuondoka bila kunitafuta tena ...hizi ni baadhi ya mbinu zangu .... usijaribu kama wewe sio mtaalamu wa kuzitumia aisee
View attachment 45859
Nimependa signature yako mwali, nyoka kapanda baskeli!maandazi kwanza... lol
Wazungu sijui wametufanya nini sisi?
Tunachukua kila ujinga wao,mbona wao hawawaigi wamatumbi kuvaa kachumbari?
Ndio hivo Mbagala.Nimependa signature yako mwali, nyoka kapanda baskeli!