Im on fire ..usinijaribu

Najuuuuuuuuuuuuuutaaaaaaaaaaaa kukufahamu Kloro...the lawyer....the gentleman....watakukoma mwaka huu!

Nimeongezwa cheo pia, yaani hapa kitaa hata nikisema nilale na waifu wa balozi wa nyumba kumi basi nakubalika.
Fanya uNiwahi michelle kabla sijaporwa na wadada wajanja.
 
Mkuu CV ya mwali yote ipo kwenye ofisi za lawyer, hilo busha linashusha kredit kabisa yaani kwa mwali.

mwali jana alimkimbia babu.babu katumia birthday yake vizuri kajifanya kungwi jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…