Binafsi jana nilitoka kazini nikijua muheshimiwa si wa kumsikilizia ofisini na sikupenda niadithiwe,kwa hakika nilijilaumu kwa kile nilichofanya.Binafsi kikwete nilikuwa simuamini kabla hata hajapata urais wenyewe,ila alinipa moyo na ile hotuba yake ya kwanza pale bungeni.Jana ilifikia wakati nikawa najiuliza pale bungeni alikuwa ameenda kufanya nini,nafikiri kama ana akili atagundua yale maneno ya spika yalikuwa yana maana gani.Ndo kwanza mwaka wapili na nusu na bado atataka miaka mingine mitano 2010.WE HAVE A LONG WAY TO GO.
JK bado ana kura yangu ya kumfikisha 2015
Matumaini na mwelekeo wa mtanzania kwa raisi kikwete yamefika mwisho. Kikwete ameshindwa kufikiri , kutenda na ameambatana na uchumi wa kiswahiba na kukosa kabisa mapenzi na nchi yake. Kama alivyoliacha Jimbo lake la uchaguzi likiwa hoi baada ya kukaa bungeni takribani miaka kumi na ushee atawaacha watanzania wakiwa wamechoka kuliko kipindi chochote ktk maisha ya Mtanzania.
Kikwete ameshindwa uongozi kura ya kutokuwa na imani naye ipigwe. Au awe muungwana aachie ngazi mwenyewe.
Ni Tanzania pekee Raisi anakula deal na wezi, wahujumu na walarushwa.Hotuba yenye kichefu chefu iliyoandikwa na hulka ya kifedhuli inaonyesha Tanzania iliyokufa.
Kauli mbiu ya Kikwete: Nguvu mpya wizi mpya, utetezi wa ikulu ndio dira ya ikulu ya kikwete.
By reducing criminal offenses to civil (in EPA) without good reasons is just letting the president exercise powers that he doesnt have! This is equal to ordering (without giving reasons) the arrest of a good citizen! Because breaking a law may either be by action or omission! By not prosecuting the EPA culprits is a very serious omission (which looks more of a an ACTION though - I am confused).
Its so unbelievable kwamba wale wezi wataishia kulipa tu. I still comvince myself kwamba line ya mwisho ya point ya EPA ktk speech ya Rais alisahau kuisoma, iliyoelezea kushtakiwa mara moja kwa wote waliorejesha pesa hizo, maana waligawana kinyume cha sheria. Na kwamba this everning kutakua na breaking news kutoka kwa Rais akitoa maelezo hayo 🙂
Matumaini na mwelekeo wa mtanzania kwa raisi kikwete yamefika mwisho. Kikwete ameshindwa kufikiri , kutenda na ameambatana na uchumi wa kiswahiba na kukosa kabisa mapenzi na nchi yake. Kama alivyoliacha Jimbo lake la uchaguzi likiwa hoi baada ya kukaa bungeni takribani miaka kumi na ushee atawaacha watanzania wakiwa wamechoka kuliko kipindi chochote ktk maisha ya Mtanzania.
Kikwete ameshindwa uongozi kura ya kutokuwa na imani naye ipigwe. Au awe muungwana aachie ngazi mwenyewe.
Ni Tanzania pekee Raisi anakula deal na wezi, wahujumu na walarushwa.
Hotuba yenye kichefu chefu iliyoandikwa na hulka ya kifedhuli inaonyesha Tanzania iliyokufa.
Kauli mbiu ya Kikwete: Nguvu mpya wizi mpya, utetezi wa ikulu ndio dira ya ikulu ya kikwete.
Matumaini na mwelekeo wa mtanzania kwa raisi kikwete yamefika mwisho. Kikwete ameshindwa kufikiri , kutenda na ameambatana na uchumi wa kiswahiba na kukosa kabisa mapenzi na nchi yake. Kama alivyoliacha Jimbo lake la uchaguzi likiwa hoi baada ya kukaa bungeni takribani miaka kumi na ushee atawaacha watanzania wakiwa wamechoka kuliko kipindi chochote ktk maisha ya Mtanzania.
Kikwete ameshindwa uongozi kura ya kutokuwa na imani naye ipigwe. Au awe muungwana aachie ngazi mwenyewe.
Ni Tanzania pekee Raisi anakula deal na wezi, wahujumu na walarushwa.
Hotuba yenye kichefu chefu iliyoandikwa na hulka ya kifedhuli inaonyesha Tanzania iliyokufa.
Kauli mbiu ya Kikwete: Nguvu mpya wizi mpya, utetezi wa ikulu ndio dira ya ikulu ya kikwete.
Nchi inaendeshwa na wachawi anaotembea nao Kikwete!!!!!!!
Sasa baada ya kunena maneno mazito yenye jazba kubwa kama hayo; jee una ushauri gani kuhusu pendekezo au mapendekezo ya suluhisho la malalamiko uliyo nayo dhidi ya Kikwete na serikali yake?
Jamani,
Haya matatizo ni ya Kikwete mwenyewe, CCM culture, au systemic and structural Tanzanian problems?
Jamani,
Haya matatizo ni ya Kikwete mwenyewe, CCM culture, au systemic and structural Tanzanian problems?
Naomba upunguze munkari mjomba. Kwanza hii hoja ilikuwa haihitaji mada maalum. Wazungu wana msemo fulani: bark is worse than bite. Hebu jiulize: pamoja na ushahidi wote uliyo wazi hakuna Mtanzania hata mmoja kati ya watu milioni 40 (Dr. Slaa na Rev. Mtikila included) aliyeweza kufungua mashitaka mahakamani dhidi ya Mkapa (achilia mbali mhusika mwenzake Daniel Yona). Sasa Kikwete mtamuanzia wapi?
It is possible to start from the bottom to the top.
Kwa hiyo tufanyeje? Au na sisi tutafute mizizi mikubwa zaidi ya kuchimba?
Please expound ...
When you talk about 40 million Tanzanian you have to consider what kind of access they have, i don't preffer to speak on behalf of someone!
Tusuguwe magoti kwa kuomba!!