Inapendeza, ila hayo mambo pia yawepo kila siku...
Siyo mpaka karibu ya mwisho wa mwezi au sikukuu ya katikati ya mwezi..
Cc: mahondaw
Mahaba ya....Malizia hii methali... "Mahaba .... ?"
Tutaenda wote eeh?19 yrs?? Safi sana !! ... Sky ingawa bado nisafar hapa tutakubaliana maisha siku zote ni gari lililo safarin kila siku.
Hivo, siku moja moja , uwe unawaandikia wadada humu wajifunze baadhi ya mambo toka kwako...siku izi hata mwaka tu watu wameshachokana na kuachana juu ...ndoa zimekua sio ndoa tena, watu wanataka kuoana ,lkn kustay ndani imekua shida .... So ukiona hata mtu kwasasa anamiaka 10 ya ndoa nijambo lakupongeza nahiyo inaoonyesha mnafocus ktk jambo moja and.mna the same values !!
Hongeren sana wakuu na iwe hata 70 ya ndoa ,mkichanganya nayenu mambo freshhhh 100 naaaa? [emoji23][emoji122].
Shukran na asante kwa ukaribisho wenu ..mbarikiwe !!
19 years?? Kumbe sky eclat ni ligi moja na faizaFoxxy.October 4 mwaka huu tunatimiza miaka 19 ya ndoa. Ntamshawishi Sky Eclat tukualike kwenye tafrija fupi tunayoifanya kila tunapotimiza mwaka wa ndoa. Naamini utaukubali mwaliko wetu... na utajifunza mengi.
Mara nyingi tunawaalika tuliowasimamia ndoa... Wewe safari hii utakuwa mgeni maalum.. labda utajifunza mengi kwenye hii tasnia ya ndoa..
Ahsante kwa kujali
Im here sir to help any needing this my mother tongue help.Ndio ukuje kwa Ras Simba uongeze vocabularies kwenye grammar yako. Nimegundua unasumbuliwa sana na past continuous tense kwenye song of Lawino...
Continuousn"t you?
Cc senior lecturer of london mother tongue language Prof Daby
Aaahh bahat mbaya mie sasa huwa nimzito sana kuhusu haya.Tutaenda wote eeh?
Mahaba niueeee...Mahaba ya....
Oooh!Mahaba niueeee...
Sasa mbona uliogopa kukamilisha sentensi?Oooh!
Mahaba nigalagaze
Mahaba nipondeponde kama nyanya
Nilisahau etiiSasa mbona uliogopa kukamilisha sentensi?