Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Don't think I written that royal language with my knowledge. Konyagi and google hureee...
Hureen't google?
google aren't they?
Ila wewe bwana mnnnnh😛😛
Don't think I written that royal language with my knowledge. Konyagi and google hureee...
Hureen't google?
October 4 mwaka huu tunatimiza miaka 19 ya ndoa. Ntamshawishi Sky Eclat tukualike kwenye tafrija fupi tunayoifanya kila tunapotimiza mwaka wa ndoa. Naamini utaukubali mwaliko wetu... na utajifunza mengi.Safi sana ,unajua Baba yangu aliwahi niambia kua Hamna mwanamke ambaye hana hofu au wivu au wasiwasi kwa mumewe hata kama kila siku wanalala wote , hawajihisigi wenye ulinzi kabisa , hivyo wao daima hujitahidi kujieleza zaidi kama sehemu ya kuwafanya Maadui wake warudishe nyuma majeshi ambayo kwa namna moja Inamfanya ajihisi mwenye ulinzi.
Sasa ili ajihakikishie Hisia za ulinzu wake nipale ambapo nawewe utamshika mkono ... Amini nakuambia , ukimkubali mwanamke mbele ya watu wengi Inamfanya ajihisi Amani na mwenye kupendwa na mwenye Ulinzi sanaaaaaaa ( nahii hata km ukichepuka bila kujua yeye hana shida kwakua wameshajihakikishia ulinzi ,,,,,, JAPO KWA MWANAMKE KM SKY ECLET HUTAKIWI KUMCHITI ).
unajua mimi nikija Kuoa, mke wangu hata mbele za watu nitamshika mkono , na nitamtambulisha katika mazingira yoyote nitakayokutana nayo ,, nitahitaji dunia ijue nampenda yeye pekeake km vile navyompenda mama yangu.
Amin nakuambia, kuna wanawake ukiwa nao tu unajiona amani,furaha ,akupi mawazo , utakubaliana namm kua mwanamme ukiwa huna mawazo ya mahusiano hata kazi zako unazifanya vizuri sanaaa , sasa moja ya njia ya kutokua na mawazo, ni mwanamke wako kusimama nakusema mbele ya mtu "Am Mrs Asprin ,unahitaj nikusaidie nn??" ... Unajua inaleta Hamasa sana, lkn pia inathibitisha kua Mwanamke wako ameridhika naww in and out na kwakila kitu.
Sasa mkuu ,y naww usitumie JF ,FB,IG ,T,n.k Kuuambia ulimwengu kua Unampenda sana na moyon mwako yupo yeye pekee?? ...... Mkuuu Mwanamke akupaye Aman ,sio wa kumpa makando kando, zaidi kika siku yakupasa kujivunia Kua naye ,na umwelezee ilo mbele yako namachon pa watu wengi hata km nikwa marafiki zako .
Sky Eclet bana, sometimes natofautiana naye ktk nyuzi, ila linapokuja suala la hisia zake kwako huwa nampa 100%..unajua nn?? Hajivungi,haboi,, haoni shida,hachoki kukutaja, haangalii watu humu watasemaje ..siunajua wapo watakaosema " Huyu naye kila siku anajifanya tuuuu bwanake bwanakeeee ,mbona huyo bwanake hana muda naye wala hajawahi kumuandika???"" wapo wanamna hiii . Sina shaka Sky anakuweka ktk profile zake za social media , , Ulishawahi jiuliza kwann wake zawatu ningumu kuweka profile waume zao au kuwapost na kuwaelezea ? Unakuta kaweka yeye,na mwanae tu??? Sio kwamba anahofu utaibiwa nooo ,ika nisababu hataki kujizibia fursa zinazoweza kuja mbele yake.
Sasa nijukumu lako mkuu kuhakikisha wenye mawazo ya kumkejeli huyu mwanamama ,unawanyamazisha kwa nguvu zako namoyo wako wote tena kwakufanya jambo dogo tuu " waelezee kua unampenda mwanamke wako sana".
Humu ndan, wapo watu wanamahusiano lkn nifeki ,unajua ,kazi kubwa ni kuruka ruka tuuu ,wanaogopa hata kuelezana , sababu hana uhakika na yuko pekee ake au lah, orodha nikubwa na kufuru ,, lkn MTIZAME Sky eclet , haoni haja, ndio nimkeo lkn tazama ,hachoki kila siku,, Hii inaonyesha Anakuwaza muda wote, na anakufikiria sana .
Mkuu niishie hapa, mie huwa naandika magazeti,ila leo nmeandika kwaajili ya Sky ,kwasababu nimeona anastahili hilo !!
Maisha yenye aman na baraka muwe nayo, Mdada Sky Usije badilika wala Usichoke .... Kaba mpaka penati Mdada,,izi mambo za mu babu,ohooo my baba..ohooo my kaka asp, ohooo my anko, oohooo mzee mwenzangu,, SIKU UKILIGEZA tuu bomu linalipuka ,But i trust Asprin hatokaa kukuumiza kwasababu mwanamke mzuri haumizwi.
Ndio ukuje kwa Ras Simba uongeze vocabularies kwenye grammar yako. Nimegundua unasumbuliwa sana na past continuous tense kwenye song of Lawino...google aren't they?
Ila wewe bwana mnnnnh😛😛
Babu mimi vocabulari zimelala bana, ila mimi nimeshtuka tu kidogo sasa hiviNdio ukuje kwa Ras Simba uongeze vocabularies kwenye grammar yako. Nimegundua unasumbuliwa sana na past continuous tense kwenye song of Lawino...
Continuousn"t you?
Cc senior lecturer of london mother tongue language Prof Daby
We umekuwa mtoro sana, tumechagua class monitor mwingine. Anatokea Chattle... yani ni unremovableBabu mimi vocabulari zimelala bana, ila mimi nimeshtuka tu kidogo sasa hivi
Malizia hii methali... "Mahaba .... ?"Mahaba hayo
19 yrs?? Safi sana !! ... Sky ingawa bado nisafar hapa tutakubaliana maisha siku zote ni gari lililo safarin kila siku.October 4 mwaka huu tunatimiza miaka 19 ya ndoa. Ntamshawishi Sky Eclat tukualike kwenye tafrija fupi tunayoifanya kila tunapotimiza mwaka wa ndoa. Naamini utaukubali mwaliko wetu... na utajifunza mengi.
Mara nyingi tunawaalika tuliowasimamia ndoa... Wewe safari hii utakuwa mgeni maalum.. labda utajifunza mengi kwenye hii tasnia ya ndoa..
Ahsante kwa kujali
Kwani Babu hili swali si la kuchagua ili niliache?"my brothers have wives"
Kiinglish kinakuzengua... hapo kwenye michepuko pasomeke "wake" utakula sup ukiendelea na ujingaKwani Babu hili swali si la kuchagua ili niliache?
Au nijaze tu ilimradi=> Kaka zangu wana michepuko
Hahaha sasa hao wadada watasikia??? Si watasema tunaleta mambo ya mwaka 47???19 yrs?? Safi sana !! ... Sky ingawa bado nisafar hapa tutakubaliana maisha siku zote ni gari lililo safarin kila siku.
Hivo, siku moja moja , uwe unawaandikia wadada humu wajifunze baadhi ya mambo toka kwako...siku izi hata mwaka tu watu wameshachokana na kuachana juu ...ndoa zimekua sio ndoa tena, watu wanataka kuoana ,lkn kustay ndani imekua shida .... So ukiona hata mtu kwasasa anamiaka 10 ya ndoa nijambo lakupongeza nahiyo inaoonyesha mnafocus ktk jambo moja and.mna the same values !!
Hongeren sana wakuu na iwe hata 70 ya ndoa ,mkichanganya nayenu mambo freshhhh 100 naaaa? [emoji23][emoji122].
Shukran na asante kwa ukaribisho wenu ..mbarikiwe !!
Aisee Question tangs ni forever F. Sitawahi kuzijua.Ndio ukuje kwa Ras Simba uongeze vocabularies kwenye grammar yako. Nimegundua unasumbuliwa sana na past continuous tense kwenye song of Lawino...
Continuousn"t you?
Cc senior lecturer of london mother tongue language Prof Daby
Mwanamke anapompenda mwanamme anakua wazi sana, na hujitahidi kuifanya dunia yote ijue anampenda nakwamba anataka ammliki.
ugumu unakuja pale ambapo upande mmoja ndio unahangaika sana kuhakikisha Dunia hiyo ijue ,upande mmoja ndo unaelezea sana hisia zake.
Nikweli kabisa, sometime love is a language spoken by everyone but understood only by Heart ...yes, huenda habar za moyon huelezwa sana Kilichopo usoni , Ila ukweli utabaki huu Nilazima tupendane kwa kipimo sawa !! .
Ndugu yangu Asprin , Mdada Sky nampa 100% kwakuhakikisha anafanya kila analoweza humu kukulinda na kuwafanya "Vidudu mtu" viache au vijiulize mara mbilimbili kabla ya kukung'ata sikio...siunajua binadamu banaaaaaa tuna udhaifu au siooooooo...
Mwanamke anakupenda sana Mzeee ,kama mkeo umempata , Unajua yoyote anayekukubali nakukusimamia mbele za watu she /he is a Really one !!
Embu siku Moja nawewe , Mwambie namna gani unampenda ,huenda unamwambia kila siku nyumban, ila serious Siku moja umwelezee humu humu namna gani unavyompenda na namna gan unavyomchukulia .
Huenda uliwah mzungumzia, ila daaaahhh nmejaribu kupitia nyuzi zako sijaoa mahali unamzungumzia Mdada Huyu ,maybe zauko nyuma au nimecheki haraka haraka ........so sijanote !!
Ndio waweza sema Moyo ndo unajua, ila mkuu Wanawake wanapenda sana kua Appriciated , waone unathamini jitihada zao ,unatambua uwepo wake kwake ...... Huenda Hajawahi kukuambia hili, Ila fahamu ili pia nimoja ya hitaji lake Muhimu analolihitaji toka kwako hasa ukizingatia Jamii hii ya JF nijamii ndogo sana !!
Sky eclet endelea kua hivo hivo kwa Mumeo !! Asprin Muunge mkono Sky !! .
Hayana ukomo haya mkuu!! Kama hupendwi kama wakina sisi hapa kuwa mpole tu ndugu yangu, mahaba yana wenyewe chief.You are too old for this
Mkuu AsprinMalizia hii methali... "Mahaba .... ?"
Dah...nakwambia..mbona Masingo wa JF mbona tunakoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu na watu wao.
hela inahusu nini kwenye mapenzi?
Umeanza lini tabia ya uchochezi?Hiyo Haya ya mwisho umenena, ilsa sasa umepigia mbuzi gitaa.
Alafu siju kama ameeacha ile tabia yake ya kutaka kukagua KE wote wapya wanao jiunga na jamii hii
CC [TAG]Asprin[/TAG]