BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,240
- 11,912
Wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo na hatimaye wakapata baadhi,je waliokosa na wana sifa kwa awamu ya pili, serikali ilaumiwe ama ndivyo mambo yana vyokwenda kwa kufarijiana kua bajeti haitoshi,je ni kweli haitoshi ,na serikali haijathibitisha kua bajeti haitoshi.