im almost back????????????

Tena hakuna kitu napendaga kama kutukanwa na mchuchu wangu! Kwani kama ni matusi mbona ndy tuyafanyayo kila tunapopenda!
Tatizo labda ukinitusi wewe.
Bt mamsap ndo kwanza ananipandisha mzuka, mwambie basi aendeleze ntukanie, mie niongeze mahanjam!
Bt ningekuplease usiproceed kuni'creatia viazi vyako from know where!
Umenielewa?

Hun achana na mtoto huyo haielew siri ya penzi
 
Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi!

Mjin hapa mylove sahiz anajua chai tayari sasa na mim ndo sinyanyuki hapa kwa bed hata walishaambiwa wasije mjin lakin wabish sa ndo hayo yanayomkuta
 
My hun morning umeamua leo kuniacha kwa bed aaaahmesahau kumbe ndo kile kikao ulichonambia jaaana usiku eeeh?

Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi! Huyu anatakiwa wamrudishe mkoleni.
 
Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi! Huyu anatakiwa wamrudishe mkoleni.

Madame b na charming lady ntawapa hii kazi
 
Back
Top Bottom