im almost back????????????

im almost back????????????

Tabia ni kama ngozi huwezi ibadili kwakweli sijui atakavyoamua maana heshma kitu chabure mi ningeamuaga kumuacha kisa yeye hayupo ingekuwaje. Mi sina usemi

Hun huyo Shem wako anakuchitchati please b care na wewe usichitchatike.
 
karibu mpenzi,pole na mitihan! mic u so april. . .

Charmy! Inakuaje Shem wangu?
Mbona napakaziwa sana kwako?
Nini dhamira yao hawa watu? Hasa Bishanga ndo aliyeanzisha hii maneno, thn vibaraka wake aliyowashkilia akili zao wanakoleza.
 
almost doesnt count....

Btw, Judgement keshachukuliwa.....

Na nani ? Huny also th's another jungu!
Na ukiona mijungu kiivi jua mi hun wako nalipa yaani nauzika!
Your choice to me is remained excellency!
 
Last edited by a moderator:
ukinyimwa unyumba wiki tatu mfululizo ndo utajua kama haya maneno au maandishi...........chezeiyaaaaaa wanawake wa jf........ Anabebwa mgongoni siku hizi....
Analambwa na asali mpaka ice......
Naniliu zinawekwa kwenye kisosi....
Judgement kahonga hadi nyumba ya urithi.....

Huyu my waif ni mzandik , mwambie akupe source .
 
Last edited by a moderator:
acha hizo banah kwani umezaliwa nae huyo, watu wanawakana hadi wazazi wao..

Afu wewe mbona king'ang'a hivi ?
Si ashakupa 120 hakutaki ! Umeng'ang'a tu! Au tafuta basi msaada wa wagambo umkamate kwa mibavu kwa ile style wagambo wachukuavyo bidhaa za Chinga! Afu unajichanganya wewe manamake yako si hua ni mazee! Huyu sio Mzee, haka ni kaschana.
We endelea kusamamba mizee yako mitaa ya mbele, hapa tuondolee Nnzi.
 
amekutukana hapo eti we ni mshamba na mshika pembe.!!! kakupendea ela,hahahaahaha

Tena hakuna kitu napendaga kama kutukanwa na mchuchu wangu! Kwani kama ni matusi mbona ndy tuyafanyayo kila tunapopenda!
Tatizo labda ukinitusi wewe.
Bt mamsap ndo kwanza ananipandisha mzuka, mwambie basi aendeleze ntukanie, mie niongeze mahanjam!
Bt ningekuplease usiproceed kuni'creatia viazi vyako from know where!
Umenielewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom