I'm a Professional driver

eze06

Member
May 25, 2015
27
10
Ndugu zangu mi ni dereva nilie hitimu mafunzo ya udereva pia nimzoefu na udereva
Vilevile ni fundi wa magari(auto engineering)
Kwa yoyote anaeweza kunihitaji kufanya kazi ya udereva nipo tayari na hata kunisaidi kupata gari lakuendesha nipo tayari
Nipi tayari kufundishika pia nawa shukuru ndugu zangu kwakua tuko pamoja
My contact 0758294994
Email:ezeassah7@gmail.com
 
dereva au leseni ipi?,ya magari madogo B& D au maroli E au mabus madogo costa au mabus makubwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom