Iluminata Hakufika popote: Kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iluminata Hakufika popote: Kwa nini?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kichuguu, Aug 24, 2009.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,014
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Niko mbele ya luninga naangalia mashindano ya Miss Universe. Nimeona kuwa Tanzania imewakikilishwa na binti mmoja anaitwa Iluminata lakini hakifika popote. Kwa nini? Anaonekana kuwa na sura nzuri, lakini sidhani kama ni mrefu wa kutosha. Nadhani kuwa Tanzania huwa tunasahau sana element hii ya urefu katika mashindano haya.
   
 2. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  historia hujirudia boss. . .
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 7,645
  Likes Received: 3,937
  Trophy Points: 280
  watanzania tunamatatizo ya kujichanganya kwa haraka, lakini kuna nchi wanankuwa wako fast within short minutes anakuwa friend wa kila mtu, mfao ni kama Wakenya lakini tatizo lao hakuna wazuri
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kujichanganya maana yake ni nini? Mbona una kuwa generalist? Na utasemaje kuhusu Mwisho na Richard Big Brother Africa?
   
 5. B

  Bunsen Burner Member

  #5
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu, si unajua tofauti ya family background za kina Mwisho na Richard (exposure na confidence kutokana na wazazi -warangirangi!) Just kidding!!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hakuwa na vigezo vya mashindano!
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  For sure comptetition was very high, vimodo vilikuwapo sana. Halafu pia hata ile picha alipiga na minguo imetundikwa kwenye kiti halafu aka post kwa ajili ya kupigiwa kura!!! primordial!!
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Haya mashindano yanaenda na politics pia, Tanzania naamini iliingia kwenye top ten hivi karibuni, kwa hiyo lazima wa rotate hizi nafasi, hawawezi uwapa Tanzania kila mwaka unless kuna kitu kiko so obviously and astoundingly impressive.
   
Loading...