Illustrator ghafla imeanza kunidai key

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuuu

Nimetumia illustrotor kwenye pc yangu kwa muda

Lakin ghafla imeanza kunidai key.

Kwa kuonesha kuwa natumia tryor na imebakia 28days.

Nafanyaje..? Angali nimeanza kutumia kitambo.

Nasasa niko mbali hakuna hata msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia hapa
Download adobe universal patcher.
Kisha extract hiyo patcher then run, kisha chagua version ya product yako Kisha patch.
NB
window defender ikiizuia turn off Kwanza then rudia hatua hapo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom