kuna maatizo zaidi ya haya ya kimaumbile. wanawake waliokekektwa mara nyingi wanalaumiwa na hata kusalitiwa na wapenzi/waume zao kwa kisingizio kuwa hawawaridhishi na hii ni kutokana na athari za ukeketaji kwa sababu ukeketaji hupunguza ashiki na hamasa ya kujamiiana ya kiasili na hivyo wanaume huwaona wanawake wa aina hiyo "mizigo" kitandani!
Glory to God!
Khaaa hii kitu ni mbaya sana jamani.... Kama alivyo sema Dada Judith hapo juu ni jukumu letu sote kupambana na iliswala maana lina athari nyingi sana kwa wanawake pia hadi kwa wanaume, maana me mwenyewe nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana alikuwa anatokea Mkoa wa Mara kiukweli alikuwa mdada mzuri sana na nilimpenda sana kutokana na tabia yake ya utulivu na heshima aliyokuwa nayo kwa watu
Katika mahusiano wetu tulidumu zaidi ya miaka 2 pasipo kufanya tendo la kujamiana kutokana na yeye mara nyingi kuni kwepa na kuniambia ni vumilie hadi tutakapo funga ndoa, pia aliwahi kuniambia kuwa hapendi hilo tendo, kutoka na uelewa wangu na kutokuwa mdadisi sana wa hayo mambo sikuweza kung'amua chochote hadi siku moja nilipo mshawishi hadi nikatoa machozi ndipo alipo nikubalia na kuniambia ukweli wa mambo
Kuwa yeye amefanyiwa ukeketaji na kwamba hapendi ilo tenda kwa sababu huwa anapata maumivu makubwa mno afanyapo tendo ilo,kwa kuwa nilikuwa sijui athari za ilo tendo nilimshawishi kuwa nitamuandaa vizuri ili asipate maumivu, Dah uwezi amini dada ya watu alikubali na tukajiandaa kwa tendo hilo, sikuwa na haraka sana nilimuandaa kwa takribani kakika 45 hivi, pasipo kuonyesha dalili zozote kuwa anasisimka kwa kile nilichokuwa nakifanya kwenye mwili wake
Ilo jambo lilinishangaza sana kwani nilipo mtizama kwa makini niligundua kuwa alikuwa na hofu sana,nilipo muhoji kwa nini anakuwa na hofu namna hiyo aliniambia kuwa anajua atapata maumivu makubwa sana kutokana na kovu lililopo kwenye mlango wa uke wake.... Nilimuomba kumvua nguo ya ndani kwa ajuli ya hilo tendo nikiwa nataka kuona hicho anacho kihofia, kusema kweli nilipoona uke wake nilitetemeka sana kutokana na jinsi sura ya uke ilivyokuwa inatisha kwa kuwa na makovu ya mithihiri ya mtu aliyekatwa na kitu kwenye mkono au mguu na kivu lake kubakia pale, Uume wangu ulinywea kama vile umepuliziwa dawa ya usingizi
Sikuweza kuendelea na liletendo tena kwa jinsi nilivyo jisikia vibaya kwa picha ile niliyoiona kwa yule mdada, nilibaki kutokwa na machozi....Nilipomuhoji sana kama amewahi kushiriki tendo la ngono alinijibu ndio na akaniambia mara zote amekuwa anapata maumivu sana ambayo mara nyingine yana mpelekea kushindwa kutembea. Ndipo nilipo mpeleka Hospital kwa wataalamu wa maswala ya wanawake na wakagundua kuwa katika kukeketwa kwake kovu la kidonda lilifunga kwa nje tu na kwa ndani bado kidonda akikufunga,hivyo alipatiwa matibabu ya kufanyiwa upasuwaji mdogo na atimaye kidonda kilipona
Na tulipo jaribu kufanya liletendo sikuwa naweza kumuingilia kimwili kwani kila nilipojaribu kupeleka uume wangu karibu na uke wake uume wangu uli lala na kushindwa kuendelea na hilo tendo, tulijaribu mara nyingi sana na sikuweza kufanya liletendo nae, hapo ndipo ulipokuwa mwisho wa uchumba wetu kwani ile hali yake iliniathari sana.... Bahati nzuri alipata mwanaume ambaye alimuona na sasa ana watoto wa 2, na anaweza kushiriki tendo la ndoa pasipo kupata maumivu aliyokuwa anayapata hapo awali, japo aliniambia ajawai kusikia raha ya kufikishwa kileleni kwa njia ya kuingiliwa kimwili......
Mwenyezi Mungu ni mbora wa kuumba na alipomuumba mwanamke na maumbile aliyonayo, alijua kazi kazi yake. Ni kitendo cha dhulma sana kumkeketa mwanamke na walaaniwe wale wote wenye tabia ya kukeketa wanawake
Uncle, this is a very sad story. Nami nina mchumba ambaye nahis kafanyiwa unyama huu maana hafurahii tendo hata tukijiandaa kwa saa nzima. Hana kovu ila kwakweli sioni kisimi. Hata sijui cha kufanya.