Iliyo keketwa

pole sana bro ila jitahidi kusamehe mbona hata jamaa yangu fulani anae mpaka leo kwani sio kosa lake pole sana umekosa true love bure
Conquest-dont gain the world and losse your soul
 
OOh Mungu wangu, wape upofu wote wanaoendeleza hii mila, huu ni ukatili uliopitiliza,

masikini mtoto yule dhu!, tushikamane wote tuendelee kupiga vita ukeketaji wa wanawake.
 
ila kule unyaturuni, zimejaa zilizofyekwa, kila utakayokutananayo imekeketwa...kama unachomeka kwenye kidonda vile....haina shepu kabisa...
 
Halafu mimi huwa najiuliza sana! Hawa wasanii wanashindwa hat kutunga filamu kali juu ya ukeketaji (wakaiandaa hata kwa miaka miwili) wakatoa kitu cha ukweli na hata wakapata tuzo za kimataifa, wanakalia kuigiza mafilamu ya "I LOVE YOU" kila siku huku yakiwa na subtitles zenye broken English?
Hata wasanii wa nyimbo pia nao wamo kwenye kundi hilo hilo!

Kwa kufanya hivyo wangeweza kutoa ujumbe mzito kwa jamii mbalimbali na kujipatia pesa nyingi pia! Lkn wanakalia kutengeneza filamu 4 tofauti kwa mwaka, kila baada ya miezi mitatu filamu na kila filamu ina part 1 na 2 ambazo hizo part 1 na 2 huwezi kuzitofautisha!
 
pengine na wao wamekeketwa, sasan i vigumu kuutungia wimbo udhaifu wako...si unajua tena, hata wale wanaume wenzetu wenye mikono ya sweta, akiwa kwenye group akaona mmeanza kuongelea ubaya wa mkono wa sweta, anaondoka fasta....ukweli huwa unauma ati.....
 
kusema hizo ni makopo ni too much jamani, kwasababu wao waliofanyiwa hivyo hawakujipendea, walilazimishwa..kama wangepewa second chance wasingeruhusu kabisa kuwa na kovu eneo hilo..
 
Hivi nani mhasisi wa hii mila yakipuzi namna hii,alkua anafikiri nini?
 
hivi sijui hata nilikuja kutafuta nini huku.... mweh!picha zinanitisha sana,kamata na tupa ndani wote wanaoendekeza mambo ya ki-sheitwan kama haya!!
 
Back
Top Bottom