Uko sahihi kabisa ... ila naogopa kuja huko nane nane nisije nikapotezwa mazima!Mshana Jr njoo.
Ila hapo kwenu kuna watu wachawi sana. Nasikia historia ya hapo ni kwamba, waliokuwa wanafukuzwa kwa ajili ya uchawi huko kwao miaka hiyo, mfano wenyeji wa Nasa na sehemu zingine walikimbilia hapo, enzi hizo pakiwa mapori. Ndio maana wanapaita I... kwa watu wazito.
Pole sana.
Karibu City Centre wameanza mambo yao hapa viwanja vya nane nane.
Njoo bwana!Uko sahihi kabisa ... ila naogopa kuja huko nane nane nisije nikapotezwa mazima!
La ofisini kwetu, upande wa taasisi.Utakuwa banda lipi? tafadhali tupa PM ... serious
Ahsante kwa ushauri ila kwa taarifa yako ...Ujinga tu,unajaribu kuongeza chumvi kuhalalisha kupotea kwako. Ww ulipotea tu,hakuna tecnolojia yoyote iliyotumika. Ulipotea pengine ni mgeni lile eneo au km ni mwenyeji basi una matatizo ya kupoteza kumbukumbu. Na tatizo la kupoteza kumbukumbu si unajua ni tatizo la kwenye ubongo!?? Ndo maana unaweka visingizio ili usionekane mjinga. Au pengine una mawazo ya kuumiza sana ambayo yanakufanya usiwe makini. Njia nzuri ya kutibu tatizo lako,ni kukubali kuwa una hilo tatizo na ukiendelea kukataa unatengeneza mazingira ya kuja kupotea jumla na kuwa kichaa kamili.
Hapo nilipopotelea ni njia panda ... na niliwahi kuambiwa njia panda ndo hao jamaa huwa wanaweka mambo yao ili mtu akifika hapo apotee hadi wamalize shughuli zao. Sijui ni kweli au la!Zama tulikuwa na imani kuna mdudu ukimkannyaga lazima upotee hata kama umefika mlangoni kwako
hahaaaaa. yaani hadi umenifanya nikupigie simu. hahahahahahah.Hilo jina nahisi kama ulibadili ila nashukuru nimeishajua ni nani .... jioni tuko pamoja best!