Ilishawahi kukutokea hii?

Ilishawahi kukutokea hii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ilitokea mume wa dada yangu (wakristo) kaoa mke wa pili tena kabadili na dini kawa muislam.
Sista hajui lolote mie ndo nimeupata ubuyu asubuhi mapemaaa maana ndoa ilifungwa saa mbili ya usiku wa jana yake.
Mimi jamani nilivyo sina kifuaa hata nusu saa sikuchukua baada ya kupewa ule umbea, nikashika simu nikampigia mdogo wetu chaaap, nikamwambia awe na kifua asimwambie sista hilo jambo hata iweje akasema sawa.
Nikamsimulia vizuri, tooba dogo yakamshinda si akamwaambia sista.
Sitosahau patashika yake.
Kwakweli mimi kulala na kitu moyoni siwezi ntakufa na pressure bure.
Ila tangu pale dogo nilimwambia Sitokaa nimpe siri nyingine yoyote

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona unamsimulia mtu unaamin atanyamaza kumbe nae hawezi kabisa ila ubuyu kama huo uwii kunyamaza ni tabu hata mi ningesema tu liwalo na liwe.sasa ilikuwaje walipatana na shemeji??
 
Ugomvi ulikuwa mkubwaaa, yaani sikuwa na amani, aliyenipa taarifa kila wakati ananipigia kunilaumu nyieee usiombe.
Nikampigia simu dogo nilimuwakiaaa mwisho wa siku ndoa zote zimeendelea hakuna aliyeachwa kati yao basi wanaishi.
 
Nawe ulimwambia ili nini sasa? Au ulidhani utamfurahisha kwa kumpa umbea?[emoji38][emoji38]

Aliniita nikamsaidie kupika jana ilikuwa sikukuu nikaenda sasa katika maongezi nikajikuta nimemuambia unajua mama fulan hivi hivi unajua uwii nikateleza yote
 
Aliniita nikamsaidie kupika jana ilikuwa sikukuu nikaenda sasa katika maongezi nikajikuta nimemuambia unajua mama fulan hivi hivi unajua uwii nikateleza yote
Nae mamaako mpana lol😆
Umbea kalewa Jana, Leo keshausambaza🤣🤣
 
Ugomvi ulikuwa mkubwaaa, yaani sikuwa na amani, aliyenipa taarifa kila wakati ananipigia kunilaumu nyieee usiombe.
Nikampigia simu dogo nilimuwakiaaa mwisho wa siku ndoa zote zimeendelea hakuna aliyeachwa kati yao basi wanaishi.

[emoji23][emoji23][emoji23] uwii mim haujawa mkubwa ila ndugu yangu kamind kuambiwa na mama
 
Nae mamaako mpana lol[emoji38]
Umbea kalewa Jana, Leo keshausambaza[emoji1787][emoji1787]

Yaan ungeniona nilivyomsisitiza na akaniambia siwez sema [emoji23][emoji23] uwii ananiambia eti hajalala usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom