Ilishawahi kukutokea hii?

Ilishawahi kukutokea hii?

Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]

Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Ni kuacha umbea tu ndilo jibu. Ukiambiwa unameza na kusonga mbele
 
Yamenikuta mim[emoji2301][emoji2301] nishauri Cole

Cc Lucha natamani nije kwako nijifiche
Njoo ukae kwangu hadi noma iishe,
Ukiwa na Siri yako kaa nayo mwenyewe siyo we imekushinda had ukaenda kumsimulia mtu mwingine alafu eti ndo uumpe masharti asimwambie mwingine , kama kutokumwambia mwengine ni rahisi mbona we ilikushinda
 
Njoo ukae kwangu hadi noma iishe,
Ukiwa na Siri yako kaa nayo mwenyewe siyo we imekushinda had ukaenda kumsimulia mtu mwingine alafu eti ndo uumpe masharti asimwambie mwingine , kama kutokumwambia mwengine ni rahisi mbona we ilikushinda
Basi nitakuwa nakuambia wewe si hutasema?
 
Ni kazi mno kila saa mdomo unawashaa [emoji23][emoji23][emoji23]ndio yamenikuta

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanza unajiskia kukabwa flan mpaka unahiSi pumzi zinakata aisee hapana wacha nisutwe tu siwez kufa mim
 
Shoo..yameshatokea..kua mpole
Ila Raha ya umbea kusutwa bana..asikuambie mtu🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanza unajiskia kukabwa flan mpaka unahiSi pumzi zinakata aisee hapana wacha nisutwe tu siwez kufa mim
😂😂😂😂😂 nimecheka jamani eti unasikia kukabwa ,kila mda mdomo unataka kusema unatamani usimulie kila mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ilitokea mume wa dada yangu (wakristo) kaoa mke wa pili tena kabadili na dini kawa muislam.
Sista hajui lolote mie ndo nimeupata ubuyu asubuhi mapemaaa maana ndoa ilifungwa saa mbili ya usiku wa jana yake.
Mimi jamani nilivyo sina kifuaa hata nusu saa sikuchukua baada ya kupewa ule umbea, nikashika simu nikampigia mdogo wetu chaaap, nikamwambia awe na kifua asimwambie sista hilo jambo hata iweje akasema sawa.
Nikamsimulia vizuri, tooba dogo yakamshinda si akamwaambia sista.
Sitosahau patashika yake.
Kwakweli mimi kulala na kitu moyoni siwezi ntakufa na pressure bure.
Ila tangu pale dogo nilimwambia Sitokaa nimpe siri nyingine yoyote
 
Back
Top Bottom