Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,600
Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]