Ilishawahi kukutokea hii?

Ilishawahi kukutokea hii?

niliwahi shuhudia suala moja jamaa mwenye fedha na jina kubwa mtaani anamlamba mke wa jirani sikuwahi sema popote hadi yule bwana na mke wake wakahamishwa kikazi (baada ya miaka kama 3 ama 4 )

ikatokea tukio la 2 nikaliona pia wahusika wakanitaka niwe shahidi yule bwana tajiri akawaambia kwa huyo bwana hawezi sema kitu tafuteni shahidi mwingine

Hukusimulia hata rafiki zako?wa mbali kuna watu huwa wanasimulia watu wa mbali
 
Niliwahi msema mtu .yule tuliekua tunapiga nae umbea akayapeleka kwa Bwana ake(ex) na Bwana ake akayarudisha kwa mchumba ake tuliyekua tunamsema..😂😂😂😂 mlengwa akanifuata kuniuliza sikushtuka walaa kujuta.
Ila nilikoma kumuamini mbea mwenzangu
Wambea huwa wanauona umbe wa wenzao, WAO HUWA HAWAJIONI KUWA NI WAMBEA
 
Back
Top Bottom