zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,535
- 27,806
niliwahi shuhudia suala moja jamaa mwenye fedha na jina kubwa mtaani anamlamba mke wa jirani sikuwahi sema popote hadi yule bwana na mke wake wakahamishwa kikazi (baada ya miaka kama 3 ama 4 )Silence is the most powerful tool to avoid problems
ikatokea tukio la 2 nikaliona pia wahusika wakanitaka niwe shahidi yule bwana tajiri akawaambia kwa huyo bwana hawezi sema kitu tafuteni shahidi mwingine