Ilishawahi kukutokea hii?

Ilishawahi kukutokea hii?

Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]

Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]

Hii inaitwa...mama na mwana wote wambea🤣🤣🤣🤣
 
Nenda insta kwa wambea wenzio
 
Jizime data kataaa katu katu hujasema. Hata ukikutanishwa na mama mruke futi Mia mbili hujamwambia, msamaha utamuomba baadae, kwanza si ulimwambia asiseme?! Atajieleza mwenyewe kaambiwa na nani Ila wewe kataaa🤣
 
Umbea kukaa nao ni kazi..ila ukiamua unaweza...

Mimi naweza kusikia/kuambiwa jambo la mtu na nikawa kimya hata nikisikia watu wanaliongea hilo jambo sichangii najifanya kama sijui...

Kadhalika hata jambo linalonihusu.. naweza kuambiwa fulani na fulani walisema au wanakusema....Na wala nisimuulize/kuwauliza...Na ninaweza kuendelea kumchangamkia najifanya sijui kitu...Naona kama kumuliza ni kutaka kumuongezea mengine ya kuongea.
 
Kuna siku kuna demu nilimwambia kuhusu jamaa si akaenda kusema bhana na jamaa alisema nisiseme duh nilimaind Sana afu Yule demu namuuliza anacheka na yeye kuna vitu alisema kuhusu jamaa ikabidi na Mimi niseme
 
Dejane kuna ile video ya Aggrey pita huku anakwambia asikaushwe uzazi imenijia akilini baada ya kusoma Uzi huu ,😅
 
Umbea kukaa nao ni kazi..ila ukiamua unaweza...

Mimi naweza kusikia/kuambiwa jambo la mtu na nikawa kimya hata nikisikia watu wanaliongea hilo jambo sichangii najifanya kama sijui...

Kadhalika hata jambo linalonihusu.. naweza kuambiwa fulani na fulani walisema au wanakusema....Na wala nisimuulize/kuwauliza...Na ninaweza kuendelea kumchangamkia najifanya sijui kitu...Naona kama kumuliza ni kutaka kumuongezea mengine ya kuongea.

Hata mi kuna baadhi ya vitu huwa nakaa kimya ila hikii nimejizuia mwez mzima huu wa pili tena jana tu kukaa na mama sijui nikawashwa nin [emoji2301][emoji2301][emoji2301] nikamuambia nyamaza usiseme kabisa uwii kashinda nalo jana leo kasema hata kuchuja hakuna nyie
 
Back
Top Bottom