Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,600
- Thread starter
- #61
Kuna siku kuna demu nilimwambia kuhusu jamaa si akaenda kusema bhana na jamaa alisema nisiseme duh nilimaind Sana afu Yule demu namuuliza anacheka na yeye kuna vitu alisema kuhusu jamaa ikabidi na Mimi niseme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kitu hata wanaume mnashindwa eee š«£