Vandetta JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,613 Reaction score 1,983 Aug 12, 2019 #101 DsmicSound said: Hivi bado mnafikiri ile fly over ni kwa ajili yako... Ile imewekwa strategically kurahisisha usafiri kutoka airpot kwenda city center...wala si kwa ajili yenu wanyonge... Click to expand... Unajua daladala ngapi zinapita pale per day? Au ww mgeni njia ile? Kwa hiyo tunaopita na daladala toka gongolamboto ., chanika ,kitunda n.k ni maboss?
DsmicSound said: Hivi bado mnafikiri ile fly over ni kwa ajili yako... Ile imewekwa strategically kurahisisha usafiri kutoka airpot kwenda city center...wala si kwa ajili yenu wanyonge... Click to expand... Unajua daladala ngapi zinapita pale per day? Au ww mgeni njia ile? Kwa hiyo tunaopita na daladala toka gongolamboto ., chanika ,kitunda n.k ni maboss?
M myplusbee JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 3,612 Reaction score 6,161 Aug 12, 2019 #102 Barbarosa said: Wanaomchukia ni Wachaga low class kama wewe, lkn Wachaga upper class wengi wao ni pro-Magu! Click to expand... Acha ukabila!!
Barbarosa said: Wanaomchukia ni Wachaga low class kama wewe, lkn Wachaga upper class wengi wao ni pro-Magu! Click to expand... Acha ukabila!!
M myplusbee JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 3,612 Reaction score 6,161 Aug 12, 2019 #103 Vandetta said: Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi... Click to expand... TOO LOW! Yaani hadi 2019 kuelekea 2020 bado kuna watu wanaoamini critics wa Magu "Wapiga Deal"?! Kuna mpiga deal nchi hii kama Rostam ambae hivi sasa anakunywa chai na Magu!!
Vandetta said: Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi... Click to expand... TOO LOW! Yaani hadi 2019 kuelekea 2020 bado kuna watu wanaoamini critics wa Magu "Wapiga Deal"?! Kuna mpiga deal nchi hii kama Rostam ambae hivi sasa anakunywa chai na Magu!!
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Aug 12, 2019 #104 Vandetta said: Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi... Click to expand... Mzee baba anachukiwa balaa. Mpaka anajipendekeza kwa majeruhi wa ajali ya moto eti watibiwe kwa gharama zake!!! Mimi ni mbeba zege (kuna magumashi gani kwenye kubeba zege?)
Vandetta said: Wanaomchukia ni nyie wachache ma agent wa mabeberu mliobanwa kwenye ile michongo yenu ya magumashi magumashi... Click to expand... Mzee baba anachukiwa balaa. Mpaka anajipendekeza kwa majeruhi wa ajali ya moto eti watibiwe kwa gharama zake!!! Mimi ni mbeba zege (kuna magumashi gani kwenye kubeba zege?)
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,238 Reaction score 6,772 Aug 12, 2019 #105 jogi said: Anapiga kazi ya kulazimisha kupendwa. Lakini wapi! Anachukiwa balaa! Click to expand... Ha ha haa chema chajiuza chenyewe na kibaya chajitembeza...
jogi said: Anapiga kazi ya kulazimisha kupendwa. Lakini wapi! Anachukiwa balaa! Click to expand... Ha ha haa chema chajiuza chenyewe na kibaya chajitembeza...