donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
siku ya fathers' day ndio nini?
kingereza kinakusumbua kumbe.Kafanyaje, katupiwa mtoto?
kingereza kinakusumbua kumbe.
Acha mkuu, maana kwenye battlefield kurudi salama ni 50/50Dah kweli inauma aiseee, usiombe kabisa
True that mkuuSoldiers wanafanyaga maamuzi magumu kwa ajili ya nchi. Tuheshim askari wetu.
????OOOOOOOOOOOOOOOOOOOHHHHHHHHHHHH
Ulikua hujui mkuu like seriously??hivi kumbe kuna siku ya baba duniani??
Rite mkuuNikiwa kama Baba imenigusa pia.