Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Uko sahihi, ila sijasema kwamba ukichapiwa na ww ukafanye laah hasa tulia tu hapo hapo ila hujui maumivu ya kuchapiwa wewe aisee [emoji23][emoji23] inaumaga hiyo kitu sio poa man..
Tatizo ni moja, mpaka mwanamke analiwa, unadhani anakuwa kashikiwa panga? Ni maamzi yake tu. Na mwanamke akichepuka, ujue ashakuchoka kitambo. Na wangapi wanasema tushaachana? Viumbe wa ajabu sana. Kwa hiyo, jifunze tu kupotezea kwa ajili ya watoto(kama ni wako)
 
Kwanza nitangulize kwa kusema wanawake wapo karibu sana na shetani.
Kuna mke wa mtu nilimla baada ya kunitia majaribuni alikuwa ni shoga wa dada yangu. Alikuwa ni daktari pale Muhimbili huyo dada. Baadae nilikuja kugundua mumewe ni mzee sana over 65 na huyo dada aliolewa kwa kufuata mali za yule mzee, shida yule mzee alikuwa moto umekata kabisa anweza kupiga miezi sita betri haipigi kabisa. Nilikuja kuachana nae kwa mbinde na hadi leo bado ananisumbua.
Nilitubu hiyo dhambi na ninaamini Mungu alinisamehe maana sikurudia tena.
 
Back
Top Bottom