Ilikuwaje Mawaziri na Vigogo wengi wakawa Wasukuma awamu ya 5?

Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Yaani tulikua tunaelekea pabaya mnoo
 
Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?

Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.

Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.

Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.

Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.

Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.

Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Ni ukabila,period
 
Kims mambo mengine tuwe na aibu hivi jafo, mpango, mkumbo, mkenda, ndalichako, nk ni wasukuma? AIBU uzushi haufai halafu anayezushiwa keshaitwa.
Orodha ni ndefu.... Kitilya, Mwigulu, Mpango, Mollel, Waitara, Gwajima...
 
Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?

Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.

Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.

Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.

Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.

Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.

Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Sasa mkoa wa pwani anakotoka rais wa sasa, Kikwete, una mawaziri watano, jiulize
 
Natuhubutu kusema wewe ni bichwa maji

Hoja kama hii ilitakiwa uipeleke FB kwa vichwa maji wenzako

Kassim Majaaliwa, Jafo, Dr Mpango, Ummy, Ndalichako, Mwinyi, Mwigulu, Mhagama, Simbachawene, Lukuvi, Mkuchika, Aweso, Prof Mkumbo, Prof Mkenda, Geoffrey Mwambie, Dr Ndumbalo, Prof Kabudi etc

Je hii list yote ya mawaziri niliyokutajia walikuwa
Huyu hana jipya. Ana chuki tu kisa anasukumwa na kitu kingine nje ya siasa.
 
Kwa hiyo kati ya mawaziri wote hao tu sio wasukuma?
Kwani wote mawaziri ni wangapi?halafu Katiba ya nchi hii inataka kila kabila liwakilishwe serikalini? Chamhimu rais anachagua wtz anaoona watamsaidia ktk kuongoza taifa.
 
Back
Top Bottom