chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,002
- 20,662
Masanja kadogosaLete Orodha Ya Majina Tujiridhishe Haraka

Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Too much pilipili,au too sweet 🤔Was too much
Ili kufanikisha dili kama hizi 👇Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Jamaa wewe ni linafiki na liongo. Huu uongo ni kama sasa hivi wanasema eti Mama Samia anajaza waislamu tu. Ingawa na yeye kasema eti kulikuwa na ukabila na udini (ila Mama Samia sijui huwa anatoa kauli baada ya kuwa kalewa kidogo), yaani yeye ni mwanamke tena Muislamu alikuwa makamu wa rais, yaani hata waziri mkuu alikuwa muislamu eti anaibuka kusema kulikuwa na udini na ukabila, dah yaani basi tu.Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Sasa kama ndo wengi na hawakwepeki na sifa wanazo why wasi chaguliwe
Kuna kikundi humu kinajaribu kuwaaminisha watu eti hawatakiwi tena kupewa madaraka! They are very stupid!Sasa kama ndo wengi na hawakwepeki na sifa wanazo why wasi chaguliwe
IndeedKuna kikundi humu kinajaribu kuwaaminisha watu eti hawatakiwi tena kupewa madaraka! They are very stupid!
unampeeb rais.Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Kuna siku jamaa toka kanda ya ziwa wakati tunakula lunch tukiwa zaidi ya 6, alitamka ''hujui kuwa sasa hivi tunaongoza na kuishikilia nchi''? "Arogance at its high stage"Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Jamaa lilikuwa lishamba sana ndo maana wataalam wachache wakalipopoa, we are better off now without himHivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Alikuwa MhutuKwani mwendazake alikua msukuma?
Ndo maana hapewi Uwaziri yule duanziJiulize ilikuaje crdb kimei akaajiri wachaga watupu?
Hivi unajuaje kwamba mtu fulani ni kabila fulani? Kama sio kujenga chuki ni nini? Kabila ni dhanio tu kama madhanio mengine.Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Posts za namna hii mods futeni! Haiwezekani Miaka 100 ya uhai wa Mwl Nyerere, Karne ya 21, Awamu ya Sita, miaka sirini ya kuwa huru watu wanajadili MAKABILA!Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili.
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais.
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma.
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana.
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?pia angalia kanda ya ziwa kwa ujumla haya angalia marc ,madc na maded wilaya teuzi zilijaa wasukuma watupu.
Haya mashirika ya umma teuzi zilitoka ikulu walijazwa wasukuma watupu huko jeshini ndo usiseme huko polisi ndo usiseme Halmashauri ndo usiseme yaani ukabila mtupu hata washauri wake walikua wasukuma watupu.
Marehemu alikuwa mtu wa viwango Leo unaona uhuni unaendelea wenyekodi zao wanalalamika lkn nape anakagua namba za nyumba kwa chopa uharibifu tu.Doto Biteko, kiasili ni mtusi
Ndalichako, kiasili ni mhutu
Mpango ni muha
Marehemu mwenyewe, kiasili ni mtusi
Lakini mmekuwa mkiwajumuisha wote kuwa ni wasukuma. Ni kweli kuwa marehemu alikuwa mbaguzi. Zaidi ya 80% ya teuzi zake ilikuwa kutoka kanda ya Ziwa.