Kaa kimya wewe GOYIMWatanzania bana wanafurahisha wakati hajapatikana mlitaka apatikane akiwa salama.
Leo kapatikana mnalaum tena kuwa amepatikana mapema baada ya mkutano wa SIRRO sasa lipi jema kwenu..
.Hao kumrudisha na gar hilo hilo ni sahihi kabisa maana sasa hilo gari kuliko ukutwe nalo au likutwe kwako nafuu umshike korodani Jiwe maana usalama wanaweza kukuachia.
Ili kupoteza raman wameona walitelekeze ili isijulikane lilikuwa wap.
Binafsi nimeona wametumia akili maana nje wasingetoka nalo tena nje,
Nimekaribia kukuteka Mrembo mcheshiMovie imeisha ila Director kapuyanga sanaaaa
Nimekaribia kukuteka Mrembo mcheshi
Mkuu endelea kuponda kufa kwajaWatanzania bana wanafurahisha wakati hajapatikana mlitaka apatikane akiwa salama.
Leo kapatikana mnalaum tena kuwa amepatikana mapema baada ya mkutano wa SIRRO sasa lipi jema kwenu..
.Hao kumrudisha na gar hilo hilo ni sahihi kabisa maana sasa hilo gari kuliko ukutwe nalo au likutwe kwako nafuu umshike korodani Jiwe maana usalama wanaweza kukuachia.
Ili kupoteza raman wameona walitelekeze ili isijulikane lilikuwa wap.
Binafsi nimeona wametumia akili maana nje wasingetoka nalo tena nje,
Ur wish is acceptedNiteke kitajiri kama MO
JF we dare to talk openly........ ongea tu mkuu utasaidia wengi.natamani kuandika kitu hapa. ila nahisi reply yangu itapelekea JF kufungiwa tena.
acha nikae kimya
Wewe jamaaa ni mjinga sana!Well said
Mijamaa ya matukio ndddddiiing
TKO walahi
Lema uwiii, walahi
kulikuwa na taarifa mbali mbali zikisambaa kwamba Asipopatikana mpaka tarehe 20 basi shughuri na viwanda vyote vilivyokuwa chini yake vitafungwa lakini taarifa hii ilikanwa na ndugu zake kwamba ni potofu ,
Na leo ni tarehe ngapi ? Yapi maksudi ya kuachiwa kwake ? Na kwa nini iwe tarehe 20? na kama taarifa ilikuwa ni potofu yapi maksudi ya kusambazwa kwake?
Turudi kwenye tarehe 19 kabla ya kuachiwa kwake usiku wa tarehe 20.
IGP alikuwa na press muda sawa na ule muda ambao mhe pale magogoni alikuwa na wachezaji wa timu ya Taifa na wote walikuwa live mmoja kupitia Television ya taifa TBC mwingine kupitia vyombo vingine vya habari online platform,
Unajua sababu ya kufanya vile hapo sioji tena nawaachia nyie mie naogopa CCTV camera za bibi zisije kukosa kucapture tukio,
ilikuwa Ununio imefatia Gymkhana what Next?
View attachment 904326
Kwa mala ya kwanza kuona hii picha ya Mo nilijua ni Mo salah.
Mwenye mkoa wake kimya MBONA hata kuwapongeza ndugu zake kashindwa MBONA ushindi wa ukonga aliwapa na soda kabisa,japo alikuwa ni msemaji mkuu toka mwanzo,Muongozaji wa hii filamu kachemsha sana.
Watanzania bana wanafurahisha wakati hajapatikana mlitaka apatikane akiwa salama.
Leo kapatikana mnalaum tena kuwa amepatikana mapema baada ya mkutano wa SIRRO sasa lipi jema kwenu..
.Hao kumrudisha na gar hilo hilo ni sahihi kabisa maana sasa hilo gari kuliko ukutwe nalo au likutwe kwako nafuu umshike korodani Jiwe maana usalama wanaweza kukuachia.
Ili kupoteza raman wameona walitelekeze ili isijulikane lilikuwa wap.
Binafsi nimeona wametumia akili maana nje wasingetoka nalo tena nje,
😄😄😄😄Ununio kwa masikini gymkana kwa matajiri,