Ilikuwa Siyo rahisi Uitenganishe CCM na ufisadi, CHADEMA na ukabila, CUF na Udini

ukabila had none to do with Lowassa
unajaribu kupotezea machungu ya ukweli
chama cha kifamilia na uongozi wa kiukoo
kambi zake kuu ziko kaskazini
uteuzi wa viti maalum wa moshi anateuliwa Songea nk
Habaha spotezei machungu. Okay lowassa ameondoka then what. Binafsi sio mwanachama.
Ila hizi kelele za chama cha kifamilia. Sijui kambi zote ziko kaskazini.. zimetokea wapi? Hakuna mtoto wa mbowe.. wala ndugu yake mwenye uongozi cdm..
Nimechunguza kwa umakini nikaona makabila mengine kama akina mashinji.. akina lissu..akina mnyika.. ester.. hawa si wa kaskazini..
Hizi kelele za kwamba ni cha kikabila zilanza lowassa alipohamia. Leo kaondoka huko what next?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM bado haitenganishiki na ufisadi
juzi tu wamiliki wa hazina wamekula 2.8 trl
Hapo hatujagusia jinsi mafisadi haya yanavyoiba kura !
Walioihusisha CHADEMA na ukanda wala si ukabila waliangalia kigezo kimoja tu kwamba chama kimeanzia kaskazini, na kuanza kupata nguvu huko..
Ulitegemea kianze kupata nguvu Ruvuma ?
Walioihusisha CUF na udini waliangalia jamii iliyoanzisha ambao kiasili huko kwao ni waislamu tu 99.9
Hoja hizi zilikuwa DHAIFU MNO kwani kadiri vyama vilipokuwa, mchanganyiko wa makabila na dini mbalimbali umekuwa mkubwa mno !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu sana kutenganisha ccm na ufisadi, ccm na ujinga, ccm na umasikini vyote vyaenda sambamba
 
hapo ndio utapata picha kamili ya tanzania endapo CCM itatoka ujue aidha ukabila au udini ndio litakuwa tatizo jipya ukiacha haya ambayo bado tunayo umaskini,ujinga na maradhi

Sent using Jamii Forums mobile app
jombaa nikusaidie tu data..
Sasahivi viongozi wengi ni wakristo na wengi wao ni kutoka kabila la wasukuma na kanda ya ziwa !
Vyama vya upinzani sasahivi vinamchanganyiko mkubwa sana wa makabila na dini mbalimbali..
CCM waliangalia alieanzisha ni dini gani na kabila gani !
CCM ndio wanaongoza kwa ubaguzi
Machotara waliambiwa wakatafute nchi ya kutawala..
Wasiokuwa CCM waliambiwa wasahau kuongoza nchi hii
Waliochaguwa vyama vya upinzani waliambiwa hawatopewa fedha za maendeleo na mbaya zaidi ilitamkwa na kile kizee cha kihutu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ukweli ambao ukiusema mbele ya viongozi wa vyama hawa utaishia kuonekana we ni mtu wa ajabu,

CCM
chama hiki kimejikita sana kuwa cha kuwaficha wafanya biashara wakubwa wakwepa kodi, wanofanya biashara ya magendo, kisa walikuwa ndani ya System so rahis kuguswa,

CHADEMA
Katika ukweli mwingine chama hiki kimejaa sana ukabila, nautaja UCHAGA NA UKASKAZINI,

CUF
Hawa wamejaa uislamu mwingi sana, na ndo maana ngome nyingi zao ni maeneo yenye uislamu ,

Ngazi zote za uongozi wa juu kila mkoa ni waislamu

Ila kwa sasa naona vyama vinaanza kujirekebisha

Leo Ntapokea mapovu mengi ya vyama vyote naona huyu wa comment ya kwanza anawaza cha kusema,
Basi kama ndio hivyo hapo kwa ccm ongeza na ukabila aka usukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo ndio utapata picha kamili ya tanzania endapo CCM itatoka ujue aidha ukabila au udini ndio litakuwa tatizo jipya ukiacha haya ambayo bado tunayo umaskini,ujinga na maradhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima CCM itoke madarakani, la msingi CCM inapaswa kuwasikiliza watu, inapaswa kumdhibiti rais na tunapaswa kuwa 50/50 au 30/40/20 bungeni ili taifa hili lipige hatua.

Rais siyo mungu. Na hata wakiingia chama kingine na wakawa na absolute rule inayotolewa na katiba takataka kama iliyopo hakuna cha maana kitakachofanyika.
 
Mkuu umeandika fair article. Mkada wa ccm hutawaona hapa coz umeandika truth.
Umepatia kote isipokuwa hapo kwenye ukabila.. i have been tracking movement za cdm nikagundua hizo kelele za ukabila zimeanzishws na ccm baada ya lowassa kwenda cdm.
Hata hivyo structure ya cdm wachaga ni kidogo sana makabila mengi yamo mule.

Okay so now lowassa karud ccm je wataendelea kupigia kelele suala la ukabila.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa fair. issue za ukabila zilianza kabla hata ya ujio wa Lowasa
 
CCM bado haitenganishiki na ufisadi
juzi tu wamiliki wa hazina wamekula 2.8 trl
Hapo hatujagusia jinsi mafisadi haya yanavyoiba kura !
Walioihusisha CHADEMA na ukanda wala si ukabila waliangalia kigezo kimoja tu kwamba chama kimeanzia kaskazini, na kuanza kupata nguvu huko..
Ulitegemea kianze kupata nguvu Ruvuma ?
Walioihusisha CUF na udini waliangalia jamii iliyoanzisha ambao kiasili huko kwao ni waislamu tu 99.9
Hoja hizi zilikuwa DHAIFU MNO kwani kadiri vyama vilipokuwa, mchanganyiko wa makabila na dini mbalimbali umekuwa mkubwa mno !

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo makandokando yapo. Kuyapinga hakuyafanyi yasiwepo.
 
kabla zitto hajahama chadema kuna jamaa alinambia huyu zitto anabaniwa sana hapo chadema kwasababu ya uislamu wake

Nilishangaa sana

chadema ni chama kizuri ila kinaweza kua kizuri zaidi endapo kitajivua taji la udini ukanda na ukabila

ni vigumu kuitofautisha chadema na uchaga

ni vigumu kuitofautisha chadema na kanda ya kaskazini(hakina sura ya utaifa)

ni vigumu kuitofautisha chadema na ukristo

Hata hivyo bado wana nafasi ya kujifunza na kufanya mabadiliko kwenye mifumo yao

ACT ni chama kipya kilichoanzishwa na Muha wa kigoma lakini tazama kilivyo na sura ya kitaifa, huwezi kukitilia shaka hata kikichukua nchi leo

Upande wa chadema wananchi wanaogopa mkipewa nchi itakua ya wachaga, itakua ya kanda ya kaskazini, itakua ya wakristo

Pokeeni mapungufu yenu na mubadilike, vinginevyo hamtaaminika.
 
Habaha spotezei machungu. Okay lowassa ameondoka then what. Binafsi sio mwanachama.
Ila hizi kelele za chama cha kifamilia. Sijui kambi zote ziko kaskazini.. zimetokea wapi? Hakuna mtoto wa mbowe.. wala ndugu yake mwenye uongozi cdm..
Nimechunguza kwa umakini nikaona makabila mengine kama akina mashinji.. akina lissu..akina mnyika.. ester.. hawa si wa kaskazini..
Hizi kelele za kwamba ni cha kikabila zilanza lowassa alipohamia. Leo kaondoka huko what next?

Sent using Jamii Forums mobile app
nakusoma ila ukabila ulijitokeza wakati wa uteuzi wa viti maalum
 
U
Huu ukweli ambao ukiusema mbele ya viongozi wa vyama hawa utaishia kuonekana we ni mtu wa ajabu,

CCM
chama hiki kimejikita sana kuwa cha kuwaficha wafanya biashara wakubwa wakwepa kodi, wanofanya biashara ya magendo, kisa walikuwa ndani ya System so rahis kuguswa,

CHADEMA
Katika ukweli mwingine chama hiki kimejaa sana ukabila, nautaja UCHAGA NA UKASKAZINI,

CUF
Hawa wamejaa uislamu mwingi sana, na ndo maana ngome nyingi zao ni maeneo yenye uislamu ,

Ngazi zote za uongozi wa juu kila mkoa ni waislamu

Ila kwa sasa naona vyama vinaanza kujirekebisha

Leo Ntapokea mapovu mengi ya vyama vyote naona huyu wa comment ya kwanza anawaza cha kusema,
Unataka kutuonyesha kuwa Bora zimwi likujualo?Tuvumilie Wala rushwa na tuwakatae wakabila na wadini?
Hii dhana ya kufikirika ndiyo tatizo la Watanzania? Unapenda kutudharau kwa kuwa wewe ndiye mwakilishi wa wanaotutetea huku wakituangamiza?
Tudai Katiba ya wananchi kabla hatujachelewa zaidi.
 
CCM bado haitenganishiki na ufisadi
juzi tu wamiliki wa hazina wamekula 2.8 trl
Hapo hatujagusia jinsi mafisadi haya yanavyoiba kura !
Walioihusisha CHADEMA na ukanda wala si ukabila waliangalia kigezo kimoja tu kwamba chama kimeanzia kaskazini, na kuanza kupata nguvu huko..
Ulitegemea kianze kupata nguvu Ruvuma ?
Walioihusisha CUF na udini waliangalia jamii iliyoanzisha ambao kiasili huko kwao ni waislamu tu 99.9
Hoja hizi zilikuwa DHAIFU MNO kwani kadiri vyama vilipokuwa, mchanganyiko wa makabila na dini mbalimbali umekuwa mkubwa mno !

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona Mtu anatumia ubaguzi want watu kwa dini,kabila,Kanda,rangi yake ni,utambue kuwa Hana hoja.Mwl.J.K Nyerere aliwahi kusema hili.
Ufisadi,dhulma,uonevu,unyanyasaji haviwezi kuwa mbadala au njia ya kuapambana na washindani wa kisiasa.
Nchi Yetu Ni Bora kuliko hao unaowapamba.
Mtoa mada anatupotosha.
 
Mkuu umeandika fair article. Mkada wa ccm hutawaona hapa coz umeandika truth.
Umepatia kote isipokuwa hapo kwenye ukabila.. i have been tracking movement za cdm nikagundua hizo kelele za ukabila zimeanzishws na ccm baada ya lowassa kwenda cdm.
Hata hivyo structure ya cdm wachaga ni kidogo sana makabila mengi yamo mule.

Okay so now lowassa karud ccm je wataendelea kupigia kelele suala la ukabila.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fuatilia top ten ya viongozi wa juu wa chadema uone wanatokea wapi ndio utajua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom