• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Bunge la CCM watupu litatuletea ukabila na udini

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
27,980
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
27,980 2,000
Pamoja na mapungufu ya vyama vya upinzani lakini bado vinasaidia kumantain umoja wa kitaifa.

Sipati picha katika mazingira ya sasa hali ndani ya bunge la chama kimoja itakuwaje......na hasa nikikumbuka wosia wa mwalimu Nyerere kuhusu kula nyama.

Nilimsikia mkurugenzi wa TIC mr Mwambe anasema viongozi tunakanyagana wenyewe kwa wenyewe sasa mkanyagano huo unaweza ukawa unaanzia bungeni tena kwa vigezo vya udini na ukabila maana wakati huo hapatakuwepo Cuf wala Chadema.

Niwatakie usingizi mnono

Maendeleo hayana vyama!
 
K

Kwemdimu

Member
Joined
May 7, 2019
Messages
75
Points
125
K

Kwemdimu

Member
Joined May 7, 2019
75 125
Mchanganyiko huleta ladha nzuri, ndio maana tunaona wapishi wa mboga hujitahidi kuweka viungo ili kuleta ladha.

Maua yakiwa ya aina moja katika bustani hayapendezi, yakiwa mchanganyiko macho hufurahi.

Mawazo mbadala ni muhimu katika ujenzi wa taifa, wapinzani wanahitajika sana ili kuisaidia serikali iliyopo madarakani.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
45,204
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
45,204 2,000
Inshort MaCCM ni mauaji
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
27,503
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
27,503 2,000
Niliwahi kusema umoja wa ccm unaletwa kwa sababu wanapata ushindani stahiki toka kwa upinzani, lakini upinzani ukifa ushindani utaokabaki ndani ya ccm ni wa ukabila, ukanda na Udini. Nikasisitiza Magufuli anavyochezea box la kura watu wanakaa kimya na kwakuwa ccm haiwezi kushindana tena na upinzani wanaona sawa. Lakini ni dhahiri ushindani utakaoingia ni mtu wa kabila letu, kanda yetu au dini yetu na sisi tuneemeke.

Kwa kuanzia sasa baada ya wapinzani kunyimwa kufanya siasa tunaona miradi ya upendeleo wa kimadararaka na hata vyeo. Inapandwa mbegu ya hatari na kundi dogo lililojificha ndani ya uzalendo na watu wamefumba macho. Box la kura linachezewa watu hawaamki tu. Itafikia mahali kabila fulani au dini fulani haitashinda kwenye uchaguzi kwani tutakuwa tumeruhusu rais kuamua nani awe mshindi. Bora mmeanza kuamka lakini naona mmechelewa.
 
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
9,357
Points
2,000
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
9,357 2,000
Pamoja na mapungufu ya vyama vya upinzani lakini bado vinasaidia kumantain umoja wa kitaifa.

Sipati picha katika mazingira ya sasa hali ndani ya bunge la chama kimoja itakuwaje......na hasa nikikumbuka wosia wa mwalimu Nyerere kuhusu kula nyama.

Nilimsikia mkurugenzi wa TIC mr Mwambe anasema viongozi tunakanyagana wenyewe kwa wenyewe sasa mkanyagano huo unaweza ukawa unaanzia bungeni tena kwa vigezo vya udini na ukabila maana wakati huo hapatakuwepo Cuf wala Chadema.

Niwatakie usingizi mnono

Maendeleo hayana vyama!
Ni muda muafaka sasa Serikali ipige marufuku majadiliano ya wabunge bungeni hususani katika bunge la bajeti
 
B

babylata

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
3,317
Points
2,000
B

babylata

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
3,317 2,000
Pamoja na mapungufu ya vyama vya upinzani lakini bado vinasaidia kumantain umoja wa kitaifa.

Sipati picha katika mazingira ya sasa hali ndani ya bunge la chama kimoja itakuwaje......na hasa nikikumbuka wosia wa mwalimu Nyerere kuhusu kula nyama.

Nilimsikia mkurugenzi wa TIC mr Mwambe anasema viongozi tunakanyagana wenyewe kwa wenyewe sasa mkanyagano huo unaweza ukawa unaanzia bungeni tena kwa vigezo vya udini na ukabila maana wakati huo hapatakuwepo Cuf wala Chadema.

Niwatakie usingizi mnono

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie baba yako anacheza na moto
 
Mromboo

Mromboo

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
1,857
Points
2,000
Mromboo

Mromboo

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
1,857 2,000
Ili lijamaa saa zingine lina akili na kuna muda alina kabisa,huwa lina homa ya vipindi.
Halafu hili lijamaa johnthebaptist huwaga halinaga hasira na hapo ndo nalipendaga. Likiwa haliko period linakuwa na akili sana. Vipi yule Korongo a.k.a Morab Stock a.k.a ndege JOHN hivi alikuwa kaibiwa simu au aliamua kujitoa ufahamu na kuokoka? Maana tangu juzi achanganyikiwe sijamuona jukwaani kabisa.
 
Forum statistics

Threads 1,405,253
Members 531,953
Posts 34,482,075
Top