Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #21
Kweli ni kisa cha kusikitisha, jambo ambalo sijaelewa ni fedhea hii ni kwako au kwa ndugu wa rafiki yako? Hakuna popote kwenye habari yako umefafanua hili,
Wazazi na ndugu wa yule kijan walifedheheka, lakini hata mimi nilifedheheka, hasa pale baadhi ya majirani kutushikia Bango mimi na mke wangu kuwa tunajifanya tuna hela na ufahari kumbe tunauza viungo vya Ma-Albino.........kaka hiyo siyo fedheha?