Ilikuwa mwaka 1981

Hahahaaa! Zile radio nyuma zina kama "plywood" laini na ina matundu tundu halafu imeandikwa Dudu proof
Mkulima 277...
Nilikuwa nayo shule O - level.. matangazo ya mpira wa miguu, michezo, vita vya ghuba na taarifa ya habari wana walikuwa wanaizunguka redio
 
Mkulima 277...
Nilikuwa nayo shule O - level.. matangazo ya mpira wa miguu, michezo, vita vya ghuba na taarifa ya habari wana walikuwa wanaizunguka redio
Hahahaa...Ukute sasa siku ya mechi ya Simba na Yanga,watu wanaizunguka redio utafikiri wanaota moto wakati wa baridi.
 
Mkulima 277...
Nilikuwa nayo shule O - level.. matangazo ya mpira wa miguu, michezo, vita vya ghuba na taarifa ya habari wana walikuwa wanaizunguka redio
Headmaster alinunulia kila bweni tusikilize updates za vita za ghuba! Irag alivyovamia kuwait
 
Ilikuwa murua burudani. Nakumbuka nikiwa najiandaa kwenda Israel kusoma nilikesha nao kabla sijapaa. Zamani mambo yalikuwa murua sana.
 
Ilikuwa murua burudani. Nakumbuka nikiwa najiandaa kwenda Israel kusoma nilikesha nao kabla sijapaa. Zamani mambo yalikuwa murua sana.
 
Kulikuwa hamna computer, kwanza mwalimu mkuu alikuwa haruhusu kumiliki hizo magendo
 
Hiyo bendi naikumbuka miaka ya 90 mwanzoni walikuwa wanakuja kila weekend kwetu mabibo kwenye ukumbi wa chabruma inn, enzi hizo ilikuwa na waimbaji kama Shabaan Dede, Eddy Sheggy, Fresh Jumbe n.k
 
Uko vizuri mkuu hongera mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…