Ilikuwa lazima BLOCK 89 Ifutwe/isimamishwe

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,

well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?

Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,

Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,

Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH

-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi

-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina

-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,

-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,

BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo

Nazani hili mmejionea wenyewe baada ya Interview ya Diamond kwenye Kipindi cha Good morning na kusepa kwa Jonijoo
 
Maelezo mazuri sana. Sema me nakazia, sio uishie tu kunawa mikono, bali kunawa kwa maji safi yanayotiririka na sabuni takribani sekunde ishirini.
na hakikisha unakaa umbali wa mita moja, usishike pua wala kufuta macho wa viganja vyako vya mkono,
Asante
 
tusaidie huo mfano
Nukuu kutoka kwenye uzi wako.

Me nilitaka kujua kwanza kubwabwaja ndio huwa kunakuwaje, isije kuwa huwa tunabwabwaja bila kujua.🏃😂
Maana nafikiri hata wao sidhani kama walikuwa wanajua kuwa wanabwabwaja.
 
Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda...,

well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..?

Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki kipindi si kinaweza fanana na kile kilichokuwa kikiruka Times FM miaka ya Nyuma, na kilisimamiwa na Raheem Da prince, Yasin Da King, kikiwa kimebase kwenye uchambuzi wa nyimbo za nje zaidi,

Kumbe hapana, THE SWITCH ya Wasafi fm, yenyewe imeambatana na usajili wa Lil Ommy, Ammy gals, Nick mills na Donald, mwenyeji wao Ray Mshana, kimebase kwenye burudani zaidi, na kuhoji wasanii,

Kwanini Wasafi walianzisha THE SWITCH wakati BLOCK 89 ilikuwepo..?
-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinachofanana na THE SWITCH pia hakina watangazaji wenye majina kivile ilikuwa ni lazima kifutwe ili kiipishe THE SWITCH

-BLOCK 89 Haikuwa kwenye prime time kwahiyo kilikuwa hakiingizi pesa, tukumbuke PEPS & VODA walikuwa sio wazamini wa kile kipindi

-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe ili kukipa nafasi kipindi cha THE SWITCH kiuzike kirahisi ukizingatia kinaruka prime time na kina watangazaji wenye ushawishi na majina

-BLOCK 89 Kilikuwa kipindi kinacholalamikiwa na wasikilizaji kuwa hakieleweki na anaekibeba ni mtangazaji mmoja tu, pia wengi wao hawafanyi research kabla ya kipindi,

-BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe kwakuwa watangazaji hawana chemistry na wengine walikuwa wapo wapo tu ili mradi liende, Main host alikuwa kama anazidiwa na co hosts waliokuwa wanabwabwaja bila mpangilio,

BLOCK 89 Haipo tena, na haiwezi kuwepo
Mzee kweli wale wasichana na yule mshikaji walikuwa hawaeleweki walikuwa wanajichanganya sana, pili kuna yule jamaa achana na johnjo alikuwa anawauliza wasanii maswali ya kuwadharau kinoma kwa mfano interview ya ENOCK BELLA aisee jamaa alikuwa anamhoji kwa dharau na kumkejeli.
 
What is this!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natofautiana na wewe kabisa na sikuona ulazima wa kukifuta kipindi cha block 88.9 kwa sababu kipindi kilikuwa ndio kimepamba moto na ukweli ni kwamba kwa jioni ndicho kipindi kilikuwa cha pili kama sio cha kwanza kusikilizwa ukiacha kipindi cha genge cha E-FM.

Kipindi cha Block 88.9 kilikuwa ni kipindi kizuri na kingepata wadhamini tuu kwakuwa wadhamini kitu cha kwanza wanacho angalia ni wasikilizaji wa kipindi husika kama ni wakutosha au lah....halafu kama swala ni utangazaji mbaya watangazaji wale hawana huo ubaya unaosemwa na wengi bali watangazaji wale ni aina ile ile ya watangazaji tulionao kwenye radio zetu kubwa ....Watangazaji wale walipaswa kupewa muda na walisha improve kabisa ukilinganisha na wakati wana anza.

Shida waliyonayo wamiliki wa media zetu ni shida tuliyonayo watanzania wengi yani hatupendi kuvitengeneza vya kwetu bali tunapenda vilivyo tengenezwa na wengine..... wale watangazaji walipaswa kupewa muda na nafasi na nina hakika wange waprove wrong maana hata hivyo walishafanikiwa kupata mashabiki wengi wakipindi chao......

Shida ilikuwa ni kukosa ubunifu kabisa ndio maana wamekiua hicho kipindi walichofanya uwekezaji mkubwa maana ukwelio ni kwamba The Switch itapata wakati mgumu sana kupata wasikilizaji wengi ukilinganisha na ilivyokuwa block 88.9 maana muda ulikuwa ni mzuri...Shida ya wasafi media ni kukosa ubunifu maana ningekuwa wao nisingevunja hicho kipindi kabisa ilikuwa ni kuwapa assigment makundi yote mawili waweze kuvitofautisha vipindi vyao kabla havijaja hewani..... Wasafi walitakiwa kukaa na watangazaji wote wawape home work ya kuvitofautisha vipindi hivi...... pengine Lil Ommy angeliambiwa yeye ata deal na bongo fleva tuu.

Nakumbuka wakati Mina Ally anaanza kutangaza Amplifaya na Millard ...humu jFzilianzishwa nyuzi nyingi za kumkebehi na kumsema anapiga makelele mara ana sauti mbaya mara Clouds wameharibu kipindi lakini leo hii hizo kelele hazipo.....mimi niliwambia kuwa Mina Ally ni matangazaji mzuri sema anahitaji kupewa muda na nafasi ya kusikilizwa.... Lakini leo hii anapendwa kwa sababu Clouds waliamua kumpa nafasi pamoja na kelele nyingi za mashabiki mitandaoni.

Ukweli ni kwamba Block 88.9 haikupaswa kufutwa kwa sababu zozote zile bali walitakiwa kupewa nafasi....
 
Mkuu you Can't Teach An Old Dog New Tricks.

Niweke link bob
 
Kuna siku walikua wanamuhoji Innos B aliyeimba Yope, wakati anajibu swali lingine hata hajamaliza vizuri hako kajamaa kakadakia kakamuuliza "eti na wewe unakula nyani" Nilimuona innos B hajapendezwa na maswali ya kushambuliwa namna ile ila akawa mvumilivu tu.
 
Kuna siku walikua wanamuhoji Innos B aliyeimba Yope, wakati anajibu swali lingine hata hajamaliza vizuri hako kajamaa kakadia kakamuuliza "eti na wewe unakula nyani" Nilimuona innos B hajapendezwa na maswali ya kushambuliwa namna ile ila akawa mvumilivu tu.
Yah niliiona iyo interview alimkomalia kuwa anakula nyani, jamaa akupenda, halafu anajikuta kawazoea wasanii kinoma
 
kiufupi ,Wasafi wanawatangazaji wabovu, pia niwazee sisi vijana tunapenda damu changa kama Queen Fifi wa Eatv the crues na King smash / awo wazee kina lily ommy miaka 40 wameshaishiwa ubunifu zaidi ya swaga zao zile zile wanapaswa kutangaza Taarifa ya habari sio kuhost show za vijana, pia hata xxl Adamu mchomvu na B dozen wamechoka/ Yaani sahvi bongo kimebaki kipindi kimoja cha nguvu tu The crues cha Frida Amani na king smash.
 
Back
Top Bottom