..ilikuaje..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Siku unachat (kwa simu ya mkononi) na watu zaidi ya wawili kwa wakati mmoja, then ukajisahau na kureply correct sms to a wrong person. Mathalan unachat na GF/BF at the same time dada/kaka, then badala ya kureply kwa GF/BF, ukakosea ikaenda kwa dada au kaka na sms yenyewe inasomeka hivi: "TUTASeX BILA KONDOM?"
...
It is just an example!
...
Ulijiteteaje ulipotuma sms kwa makosa?
...
ALAMSIKI!
 
Unakaa kimya tuli, kama vile hakuna kinachoendelea. Hii inaitwa: 'submissive type of conflict management'.
 
sasa unataka ujitetee msg ya aina hii kwa ndugu yako?

Utaanzia wapi?
 
Unakaa kimya tuli, kama vile hakuna kinachoendelea. Hii inaitwa: 'submissive type of conflict management'.
.
Kama ukiulizwa ufafanue kuhusu hiyo wrongly sent sms utajiteteaje
 
sasa unataka ujitetee msg ya aina hii kwa ndugu yako?

Utaanzia wapi?
.
Tena patam ni pale ambapo bado ni "dependent" then unakosea unamtumia yule anaekupa "vijisent" vya poket money.. lol
 
Kama mnaishi nyumba moja na huyo ndugu wiki hiyo yote we wa kwanza kuamka kwenda kazini na wa mwisho kurudi unaingia kulala kumkwepa huyo ndugu na aibu
 
Chuoni nliwahi kumtumia msg supervisee mwenzangu wa research, halafu nkakosea ikaenda kwa research supervisor mwenyewe!! Weee nlitamani dunia ipasuke! Nliandika hivi,
“hivi huyu dokta xyz mbona anatuzingua? Asituchoshe bana nasi tuna mambo yetu tumtolee uvivu“
 
Sms kama hii,mlengwa hawara...unakosea yaenda kwa waif....

..."katoe hyo mimba "...
 
asee achaaa nilikoseaa kwa hawara nikatuma kwa wife .....''vipi umetoka clinic?mtoto anakilo ngapi...ntatumaa jioni pesaaa"ikaendaa kwa wife cse nilikuwa na chat nao kwa pamojaa walahiiiii we wachaaaa,ileee msg imeenda ndo naonaa jina wife uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....nikauchunaaa kimyaaa.then baada ya kama nusu saaa nikatuma nyingine,nimetumia simu ya baba deo mi jimmy yangu imeisha charge jibu kwenye yangu.
 
very clever!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom