Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,251
- 5,323
Mdomo wangu umekua na uoga wa kusema kilichotokea,nisijeitwa mahakamani kutoa ushahidi,ila usijali mkuu sembo yuko njiani kukusimuliawamefanya nini kwani?
hahahaha mkuu unauaNilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.
nikisema wamebaka sijui ntakua nakoseaMkuu timu yangu pendwa ya Kimataifa imefanya nn tena?
Hapakuwa na namna, acha wachapwe tu, wale JKU walitufanya kitu mbaya sana kwenye mechi ya kirafiki, ikaaminika kwamba Yanga si lolote wala chochote kwa timu za Zanzibar. Baada ya kurejesha heshima sasa Yanga wapunguze 'nakos' watawaua wasela!!!Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
Mkuu sembo hawezi kupatikana mitaa hii kwa sasa, anasikilizia hatima yake jioni ya leo ndipo aibuke!!!cc sembo na mikia wenzako
Mmehamisha tena goli, safari hii siyo m-pesa?Yanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu