Hahahahaa..... Mkuu, mbona avatar yako haisadifu kile unachokinena!Mi mgeni huku jf
Pole sana Mkuu, na karibu kwa mara nyingine tena. Utajifunza mambo mengi kwa jf yenye mwonekano mpya.Hahaha nlijoin kitambo bt sikuwa active
Hahahaha kali hiiNamalizia.Akaenda kuomba hela kwa Rafiki yake akamwambia hana.Akarudi lodge muhudumu akadai chake.Jamaa akamwambia amekosa hela hivyo abaki na simu.Muhudumu akakataa kwa kuwa simu yenyewe Mchina halafu kimeo.Akamwambia twende chumbani kuangalia kama una kitu chochote cha thamani.kufika chumbani akakuta mashuka yamechafuka damu.Muhudumu akamwita mlinzi na kumwambia jamaa afue mashuka.Wakati anapelekwa kufua dogo akachoropoka mbioooo.
Na Hadithi imeisha.
Bleed ina harufu gani!?hukupakwa ppakwa damu na ile harufu ya bleed mmh unamoyo kwa kweli
Ha ha ha kweli that eatable sentence sounds familiar.....Mbona u sound like juan moses wa chronicles of a a horny guy sijui...that eatable sentence sounds familiar....
Chuoni mwaka 2011-12 ulikuwa unasomea utengenezaji wa kashata za nazi?!!
Bila shaka atakuwa ndugu wa rajab utengweDuuuh ety na huyu nae ni degree holder.. tz kila maajabu yapo
Hahaha 😀 labda kavutiwa nalo kaamua kuiga nayeyeHa ha ha kweli that eatable sentence sounds familiar.....
Umeicheki enh?Ha ha ha kweli that eatable sentence sounds familiar.....
Typing error mkuu nilikuwa nakimbilia kitu....namaana kula likes af story kali ni stress freeSijakupata hapo
Unarukaruka kama bisi kwenye thread za watoto, si uende ukalilie hela za MCC na wazee wenzakoSina jazba ndugu ila nimekwazwa na huyu bwana mdogo....anavyotoa hadithi huku anakata gogo...