Ilibaki kidogo nifulishwe mashuka lodge

Ilibaki kidogo nifulishwe mashuka lodge

Mbona 'heading' haiendani na stori uloandika, alafu stori haijafika mwisho hivyo bado ina utata.
Unaiwahi Tu story! Mwisho WA siku Ni kuwa jamaa atafumua kisamvu hafu Ni first time kwa huu demu, so ikiwa first time ujue Dushe likikoroga huko nyuma then ukichomoa Tu inabidi upishe coz Nya inakuja kwa speed ya ajabu, Kama Ni first time kwa demu na unataka Kula ndogo chagua style poa!
 
Main body


Mida ya saa tano kasoro tumefika maeneo karibia na club, ikabidi tupate chimbo tule na kunywa maana ndani vitu expnsive na vile sie ni wanafunz ikabd tufanye ivo, kama kawa nikaendeleza gambe
Kumbe yule dem ( cousin ake dem wa mshkaj anaitwa Grace)
So G akaagiza gambe zake tukala vzr ilipofika saa sita tukazama ndani ya club wote wanne , jamaa na dem wake , mimi na G, hahaha tukafika counter tukachukua vitu kuongeza stim, mara ngoma kali zikaanza kubamba mtoto G akaanza dance, kwa kiuno kile na ufundi ule sikua na namna zaidi ya kujiongeza
Nikakamata kiuno, ngoma zinaendelea na bia zinaanza kupanda kichwani mtoto anajiachia balaa, touching zikaanza, huku kisses, mtu mzima nikala denda huku tunacheza ilikua romantic sana
Ikawa imefika saa 9 yule mshkaj na dem wake walasema wanaondoka, nikamuuliza G tusepe? Aksema No
So jamaa ikabidi watangulie

Ikafika saa kumi , tukasema tuondoke
Nawaza nitamlaza wapi binti wa watu
Maana geto yuko jamaa na dem wake
Nikaita tax tukaanza kusepa, karb na geto kuna lodge nikamwambia nimchukulie room hapo apumzike mm ntaenda kwa mwanang mwngne kulala
( huyu G sio mwenyej DOM, amekuja tu kutembea na alifikia kwa cousin ake na saa hyo kila mtu yupo kivyake)
Akakubali kulala pale lodge tukaingia ndani
 
KUNA SIKU ILIBAKI KIDOGO NIFULISHWE MASHUKA LODGE


Intro

Mwaka 2011-12 wakati nipo chuoni (DODOMA) nilipata show moja ya kibabe bila kutarajia na ikaanzisha mahusiano ya mapenzi lakn hayakudumu kwa muda mrefu....

One day nikiwa nimechill room nasikiliza music, mshkaji wangu nnae kaa nae room 1 akaingia na wageni wawili wakike, mmoja alikua dem wa mshkaj na mwingne alikua cousin wa dem wa mshkaj so baada ya salam tukapga stori mbil 3 pale then mshkaj akanistua tutoke tuongee chemba kdg, ( *yule cousing ake shemej ndo nmemuona kwa mara ya kwanza, she z cute, sexy and eatable))

So wakati tupo chemba na mshkaj ananitonya wale gals wanata kwnda club leo so kam vp nimpe campan twende wote hahaha mimi bila kusita nikasema haina mbaya utanikabidhi tu cousin ake shem
Ilikua mida ya saa mbili ucku, nikaenda baa ya jirani nikapiga castle lager mbili za fasta nieke akili sawa maana ckua kbs na mzuka wa club ikabidi niutafute, wakati huo nimemuacha jamaa na madem room,,,

Kurudi room nikawa nimechangamka kdgo, tukajiandaa hadi kufika saa nne safari ikaanza[/QUOTE ila kastor katamu,malizia basi
 
Unaiwahi Tu story! Mwisho WA siku Ni kuwa jamaa atafumua kisamvu hafu Ni first time kwa huu demu, so ikiwa first time ujue Dushe likikoroga huko nyuma then ukichomoa Tu inabidi upishe coz Nya inakuja kwa speed ya ajabu, Kama Ni first time kwa demu na unataka Kula ndogo chagua style poa!
Asaghafulilah
 
Beer bado zimembamba haaa haaa zikiisha kichwa atarejea kutumwagia story.
 
Leta mwendelezo kijana,tunataka kujuwa hizo shuka kulikoni ufulishwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom