Ilibaki kidogo nifulishwe mashuka lodge

Ilibaki kidogo nifulishwe mashuka lodge

Mwisho

tukaoga, tupo tayari kusepa
Kufika reception namkuta yule mhudumu namwambia naenda kuchukua hela then naleta anipe cm yangu
Ndani ya dk 30 nikawa nimeenda nikarudi (kumbe mhudumu keshaingia kule room kakuta lile balaa japo tulifunika funika)
Nikakuta mtu anatokwaa mapovuu
Mimi nikawa mpole tu nkampa ela yake anipe cm yangu
Si akagoma et hadi nifue zile dam
Daaaaaah tukabishana kichz huku nkiomba msamaha
Mara boss anafika anaulza kuna nn hapa akajuzwa, weeh acha awakee!
Nkasema ili balaa, so ikanitoka 30000 ndo wakatulia nkachukua simu nikasepa"!
 
we hukutoka na damu damu?
 
Namalizia.Akaenda kuomba hela kwa Rafiki yake akamwambia hana.Akarudi lodge muhudumu akadai chake.Jamaa akamwambia amekosa hela hivyo abaki na simu.Muhudumu akakataa kwa kuwa simu yenyewe Mchina halafu kimeo.Akamwambia twende chumbani kuangalia kama una kitu chochote cha thamani.kufika chumbani akakuta mashuka yamechafuka damu.Muhudumu akamwita mlinzi na kumwambia jamaa afue mashuka.Wakati anapelekwa kufua dogo akachoropoka mbioooo.
Na Hadithi imeisha.

Hahaha hii remix mkuu
 
Mwisho

tukaoga, tupo tayari kusepa
Kufika reception namkuta yule mhudumu namwambia naenda kuchukua hela then naleta anipe cm yangu
Ndani ya dk 30 nikawa nimeenda nikarudi (kumbe mhudumu keshaingia kule room kakuta lile balaa japo tulifunika funika)
Nikakuta mtu anatokwaa mapovuu
Mimi nikawa mpole tu nkampa ela yake anipe cm yangu
Si akagoma et hadi nifue zile dam
Daaaaaah tukabishana kichz huku nkiomba msamaha
Mara boss anafika anaulza kuna nn hapa akajuzwa, weeh acha awakee!
Nkasema ili balaa, so ikanitoka 30000 ndo wakatulia nkachukua simu nikasepa"!
Punguza uroho...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom