Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Uzalendo siyo kukubaliana na kila kitu atakacho Jiwe! Mengine asimame yeye kama yeye na si Nchi. Wamtie kibano tu ajirekebishe kama ana akili.Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Hivi hiyo profile Ni sula yako maaana ninavyokuangalia ata sikumaliziHawa ni mabeberu tuu na huu ni wivu juu ya maendeleo yetu na demokrasia yetu ya Tanzanian Democracy ambayo ni part of African Democracy.
Wazalendo wa kweli wa taifa hili, hatuta kubali ubeberu huu, tutasimama na rais wetu.
P
Naomba tukumbushane hapa,
Balozi wa Marekani alishatoa maonyo mengi juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo hali ya demokrasia nchini, uhuru wa habari (Kabendela), mahakama kuingiliwa na kutotoa haki ikiwemo kubambikiziana kesi kwa vinogozi wa vyama pinzani, watu kupotea na kutekana, haki za watoto hasa wanaopata mimba mashuleni nk.
Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu.
Jana Ikulu ya Marekani imeanza process ya kuwekea vikwazo watanzania na baadhi ya viongozi kuingia marekani ikiwa ni mwanzo wa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.
Huku kujimwambafy kunatuumiza hasa sie raia kwa viongozi wazembe ambao wanakula na kulala kwa kodi zetu.
Ifike kipindi tuwaambie zile ngojera za kiwa mabeberu wanatuonea wivu ni wivu gani wakati kila kitu kinatoka kwao kuanzia teknolojia hadi wafanyakazi wa hiyo miradi tunayojidai nayo?
Nchi yoyote duniani inapobadilisha mikataba ya madini( dhahabu, almasi, mafuta, gesi n.k) inakuwa adui mkubwa wa Marekani na Ulaya, hayo mengine ni kuhalalisha uharamia wao.
Tanzania inatumia mfumo uleule wa kidemokrasia wa uchaguzi tokà mwaka 1995 na hakuna hata siku moja waliona Kuna kasoro, kasoro wameiona awamu hii ya 5, kwa Nini? Kwa sababu Rais Magufuli kàbadilisha mikataba ya Madini
endeleeni kumjaza ujinga..Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
You are alone on this,sisi hatumoHuu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

Mkuu hili ni taifa huru, JPM amekuta diplomasia ,democrasia ni bora ukashauri kuboresha mahusiano na si narrow thinking eti JPM hana mpango kusafiri.Mbona majina hujaweka mleta mada?
Halafu hivi unaweza muwekea vikwazo vya mtu kutoingia nchini kwako mtu asiyesafiri na asiye na mpango wa kuja nchini kwako?
Ni upuuzi tu, Magufuli na GENGE lake wanakula na kufanya STAREHE NA ANASA kwa kodi zetu. Madhila ya kiuchumi hayatawatesa wao, ni mateso kwa Wanachi.Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Kilio chetu cha tume huru hakiikuanza jana wala juzi bali ni toka mfumo wa vyama vingi uanze. Na toka huo mfumo wa vyama vingi uanze haijawahi kutokea vyama vingine kuzuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, haijawahi kutokea chaguzi za kishenzi kama sasa. Hao Marekani wachukue hatua kali za haraka dhidi vya hawa wakoloni weusi na tutawaunga mkono. Mkoloni mweusi akishatolewa tutapanga nchi yetu vizuri na tutafanya nao biashara yenye maslahi ya pande zote 2 fullstop.
Huna ubavu wa kushindana na USA.Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
PHata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Unisamehe bure lakini uandishi wako wa kutujazia post za zamani unachosha macho na kuleta uvivu kusoma!!Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

Uchaguzi wa marekani uliufuatilia au unabwabwaja? Aliyeshinda urais ndio rais wa Marekani?