Ilianza balozi kutoa ONYO, likaja baraza la Congress, sasa Ikulu ya Marekani ila Kiburi, majivuno yatazaa Vikwazo vya kiuchumi kujiona sisi matajiri

Yaani kabudi mabada atumie muda wake kujena mahusiano mazuri kati ya TZ na mataifa wahisani yeye anatoa macho eti anasaidia zimbabwe iondolewe vikwazo vya kiuchumi! sasa yeye akiwekewa vikwazo sijui nani atakuja kumpigania.
Huyo Kabudi atajengaje mahusiano mazuri na mataifa hisani wakati safari zake ni Dar na Dodoma? Huwezi kujifungia nyumbani alafu majanga yasikukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.



P


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yoyote duniani inapobadilisha mikataba ya madini( dhahabu, almasi, mafuta, gesi n.k) inakuwa adui mkubwa wa Marekani na Ulaya, hayo mengine ni kuhalalisha uharamia wao.

Tanzania inatumia mfumo uleule wa kidemokrasia wa uchaguzi tokà mwaka 1995 na hakuna hata siku moja waliona Kuna kasoro, kasoro wameiona awamu hii ya 5, kwa Nini? Kwa sababu Rais Magufuli kàbadilisha mikataba ya Madini
Mkuu kwenye suala la madini hamna kitu. Ulaji uko pale pale. Yaani kama walikuwa wanakula mchana sasa wanabugia usiku.

Hii mikataba ya kusema 50 kwa 50 ni danganya toto kwani muekezaji ndiye anayekwenda sokoni peke yake kufanya biashara. Halafu akishatangaza faida kwa wakati wake hapo ndiyo utapata 50 yako. Tatizo liko wapi? Anapokwenda sokoni hakuna ajuae kuwa biasharailifanyika vipi na faida ni kiasi gani. Mf anaweza kupata faida ya usd laki moja lkn yeye akutangaza faida ya usd elfu kumi. Hivyo gawio lako likawa ni usd elfu tano. Hapo eti unashangilia kwa nguvu. Mifano ni mingi lkn niishie hapo kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni mabeberu tuu na huu ni wivu juu ya maendeleo yetu na demokrasia yetu ya Tanzanian Democracy ambayo ni part of African Democracy.
Wazalendo wa kweli wa taifa hili, hatuta kubali ubeberu huu, tutasimama na rais wetu.

P
Sisi ni dona kantri. Tunadoneti kile tunachodonetiwa na mabeberu.
Vinginevyo mniambie ni lini tulilima mahindi tukauza halafu zile pesa tukajengea barabara! Hapo bado kudoneti.
Dona kantre!
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.



P
pascal ni lini mara ya mwisho ulifika USA ?
 
United States.

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.

Acheni uzushi, sababu hizi hapa hayo mengine mnajitungia tu

acheni mzee baba apige kazi, nani anataka kwenda Marekani? Tutabanana hapa hapa nchini kwetu.
Biometrics hizihizi za usajili wa line za simu?
 
yaani tangu CCM walivyobariki ule uhuni wa uchaguzi serikali ya mitaa - nimewaona hawafai kabisa, yaani sintawa-support kwa lolote lile - ule ni ushetwani...hata Muumba sidhani anaweza kuwasamehe - yaani unapora HAKI then unaibariki aisee!! hiki chama cha ajabu kabisa.

Marekani na nchi nyingine nyie kandamizeni tu wameyataka wenyewe.
 
Naomba tukumbushane hapa,

Balozi wa Marekani alishatoa maonyo mengi juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo hali ya demokrasia nchini, uhuru wa habari (Kabendela), mahakama kuingiliwa na kutotoa haki ikiwemo kubambikiziana kesi kwa vinogozi wa vyama pinzani, watu kupotea na kutekana, haki za watoto hasa wanaopata mimba mashuleni nk.

Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu.

Jana Ikulu ya Marekani imeanza process ya kuwekea vikwazo watanzania na baadhi ya viongozi kuingia marekani ikiwa ni mwanzo wa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

Huku kujimwambafy kunatuumiza hasa sie raia kwa viongozi wazembe ambao wanakula na kulala kwa kodi zetu.

Ifike kipindi tuwaambie zile ngojera za kiwa mabeberu wanatuonea wivu ni wivu gani wakati kila kitu kinatoka kwao kuanzia teknolojia hadi wafanyakazi wa hiyo miradi tunayojidai nayo?
Hii habari haiendani na uhalisia wa kilichosemwa,na Kwa kifupi ni kwamba haihusiani na Hali ya kisiasa nchini
 
Hawa ni mabeberu tuu na huu ni wivu juu ya maendeleo yetu na demokrasia yetu ya Tanzanian Democracy ambayo ni part of African Democracy.
Wazalendo wa kweli wa taifa hili, hatuta kubali ubeberu huu, tutasimama na rais wetu.

P
Nakuelewa Mkuu ,lakini kwa taabu sana,na sijui kama wote wamekuelewa,subiri mvua ya mipasho na matamko kutoka kwa wenzangu.
 
Waache wapongeze si bado ule mkate upo!!

Wakitaka kuelewa maana halisi ya vikwazo, waangalie kwa jirani yetu Zimbabwe, raia wanatembelea ulimi bila makosa yao!

Ndio maana Mr Kabudi alijivisha uspeaker ili waondolewe vikwazo.

Mambo mengine haihitaji nguvu sana ni akili tu na kufuata sheria ili maisha yawe sawa kwa wote walio chini ya sheria bila ya mmoja kuwa juu ya sheria!

Jamaa mwenyewe hahudhurii si kwenye mikutano ya maendeleo, ya kiuchumi wala ya maraisi, sijui bado hajajitambua kama ni raisi !!!?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani tangu CCM walivyobariki ule uhuni wa uchaguzi serikali ya mitaa - nimewaona hawafai kabisa, yaani sintawa-support kwa lolote lile - ule ni ushetwani...hata Muumba sidhani anaweza kuwasamehe - yaani unapora HAKI then unaibariki aisee!! hiki chama cha ajabu kabisa.

Marekani na nchi nyingine nyie kandamizeni tu wameyataka wenyewe.
Ukiangalia kwa makini Shetani anaweza kuwa na ahueni kuliko ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom