Ilianza balozi kutoa ONYO, likaja baraza la Congress, sasa Ikulu ya Marekani ila Kiburi, majivuno yatazaa Vikwazo vya kiuchumi kujiona sisi matajiri

United States.

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.

Acheni uzushi, sababu hizi hapa hayo mengine mnajitungia tu

acheni mzee baba apige kazi, nani anataka kwenda Marekani? Tutabanana hapa hapa nchini kwetu.
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P

ninyi muna ubavu gani wa kumdindia Marekani hivyo mnavyoikali ZANZIBAR kijeshi kwajiona tayari mshaitawala Dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
Uzalendo siyo kukubaliana na kila kitu atakacho Jiwe! Mengine asimame yeye kama yeye na si Nchi. Wamtie kibano tu ajirekebishe kama ana akili.
 
Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu. halafu praise team wakasema ile barua ni feki
Naomba tukumbushane hapa,

Balozi wa Marekani alishatoa maonyo mengi juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo hali ya demokrasia nchini, uhuru wa habari (Kabendela), mahakama kuingiliwa na kutotoa haki ikiwemo kubambikiziana kesi kwa vinogozi wa vyama pinzani, watu kupotea na kutekana, haki za watoto hasa wanaopata mimba mashuleni nk.

Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu.

Jana Ikulu ya Marekani imeanza process ya kuwekea vikwazo watanzania na baadhi ya viongozi kuingia marekani ikiwa ni mwanzo wa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

Huku kujimwambafy kunatuumiza hasa sie raia kwa viongozi wazembe ambao wanakula na kulala kwa kodi zetu.

Ifike kipindi tuwaambie zile ngojera za kiwa mabeberu wanatuonea wivu ni wivu gani wakati kila kitu kinatoka kwao kuanzia teknolojia hadi wafanyakazi wa hiyo miradi tunayojidai nayo?

Jr
 
Nchi yoyote duniani inapobadilisha mikataba ya madini( dhahabu, almasi, mafuta, gesi n.k) inakuwa adui mkubwa wa Marekani na Ulaya, hayo mengine ni kuhalalisha uharamia wao.

Tanzania inatumia mfumo uleule wa kidemokrasia wa uchaguzi tokà mwaka 1995 na hakuna hata siku moja waliona Kuna kasoro, kasoro wameiona awamu hii ya 5, kwa Nini? Kwa sababu Rais Magufuli kàbadilisha mikataba ya Madini

Kilio chetu cha tume huru hakiikuanza jana wala juzi bali ni toka mfumo wa vyama vingi uanze. Na toka huo mfumo wa vyama vingi uanze haijawahi kutokea vyama vingine kuzuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, haijawahi kutokea chaguzi za kishenzi kama sasa. Hao Marekani wachukue hatua kali za haraka dhidi vya hawa wakoloni weusi na tutawaunga mkono. Mkoloni mweusi akishatolewa tutapanga nchi yetu vizuri na tutafanya nao biashara yenye maslahi ya pande zote 2 fullstop.
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
endeleeni kumjaza ujinga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
You are alone on this,sisi hatumo
 
Endeleeni kuota, juzi tu umoja wa Ulaya na Us,Uk wametoa bil 230+ kusaidia mambo ya elimu.
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
Ni upuuzi tu, Magufuli na GENGE lake wanakula na kufanya STAREHE NA ANASA kwa kodi zetu. Madhila ya kiuchumi hayatawatesa wao, ni mateso kwa Wanachi.
Ni kama ilivyokua kwa Mzee Mugabe tu, enzi za utawala wake wa KI-UENDAWAZIMU.
 
Kilio chetu cha tume huru hakiikuanza jana wala juzi bali ni toka mfumo wa vyama vingi uanze. Na toka huo mfumo wa vyama vingi uanze haijawahi kutokea vyama vingine kuzuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, haijawahi kutokea chaguzi za kishenzi kama sasa. Hao Marekani wachukue hatua kali za haraka dhidi vya hawa wakoloni weusi na tutawaunga mkono. Mkoloni mweusi akishatolewa tutapanga nchi yetu vizuri na tutafanya nao biashara yenye maslahi ya pande zote 2 fullstop.

Uchaguzi wa marekani uliufuatilia au unabwabwaja? Aliyeshinda urais ndio rais wa Marekani?
 
WASHINGTON—The Trump administration plans to add seven countries to a group of nations subject to travel restrictions, including Nigeria, Africa’s most populous country, along with others in Africa and Asia, according to administration officials who have seen the list.

The new restrictions would apply to travelers and immigrants from Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan *and Tanzania.* The countries wouldn’t necessarily face blanket bans on travel to the U.S., but could have restrictions placed on specific types of visas, such as business or visitor visas, administration officials said.

Some countries could be banned from participating in the diversity visa lottery program, which awards green cards to people in countries with low levels of immigration to the U.S. President Trump has called for an end to that program, saying it lets undesirable people into the U.S., and he has proposed reorienting the existing visa system toward skilled workers instead.

The officials said the list isn’t final, and on Tuesday the White House was still debating whether to include one or two of the countries.

The Department of Homeland Security didn’t respond to request for comment. The State Department declined to comment.

Read more Trump Administration Plans to Expand Travel Restrictions to Seven Countries

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
Huna ubavu wa kushindana na USA.

You are poor and weak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachofanya ni kuchochea moto kwa style ya kusubiri matokeo
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P
Unisamehe bure lakini uandishi wako wa kutujazia post za zamani unachosha macho na kuleta uvivu kusoma!!
 
Ila misaada yake (beberu) tunaipokea kwa kukenua meno yote... Ama kweli wahenga walisema... Baniani mbaya.......
Huu ni ubeberu tuu, wazalendo hatutakubali tutasimama na rais wetu Magufuli.

P

Jr
 
Uchaguzi wa marekani uliufuatilia au unabwabwaja? Aliyeshinda urais ndio rais wa Marekani?

Sizungumzii uchaguzi wa Marekani bali nazungumzia wa hapa kwetu. Kama wa hapa kwetu naona uhayawani wa wazi sijali anayekuja kuingilia huo uhuni anaishije anakotoka. Ili miradi anaweza kuzuia mimi kutawaliwa na nyani mwenzangu bila ridhaa yangu nitamuunnga mkono fullstop.
 
Similar Discussions

74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom