Ilianza balozi kutoa ONYO, likaja baraza la Congress, sasa Ikulu ya Marekani ila Kiburi, majivuno yatazaa Vikwazo vya kiuchumi kujiona sisi matajiri

Naomba tukumbushane hapa,

Balozi wa Marekani alishatoa maonyo mengi juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo hali ya demokrasia nchini, uhuru wa habari (Kabendela), mahakama kuingiliwa na kutotoa haki ikiwemo kubambikiziana kesi kwa vinogozi wa vyama pinzani, watu kupotea na kutekana, haki za watoto hasa wanaopata mimba mashuleni nk.

Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu.

Jana Ikulu ya Marekani imeanza process ya kuwekea vikwazo watanzania na baadhi ya viongozi kuingia marekani ikiwa ni mwanzo wa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

Huku kujimwambafy kunatuumiza hasa sie raia kwa viongozi wazembe ambao wanakula na kulala kwa kodi zetu.

Ifike kipindi tuwaambie zile ngojera za kiwa mabeberu wanatuonea wivu ni wivu gani wakati kila kitu kinatoka kwao kuanzia teknolojia hadi wafanyakazi wa hiyo miradi tunayojidai nayo?
Tazama jinsi USA wanavyokuja haki za binadam kwa kimbari...
World Report 2019: Rights Trends in the United States

Lini uliwahi hata kuisema japo kidogo?
 
Ni upuuzi kuwa na Baba mwingine kuliko Mungu na Baba mzazi

Naendelea kusema, Misaada kutoka Ulaya na America ni mtego wa panya katika nchi zetu Africa na unatudekeza

Tunauwezo wa kujenga nchi yetu wenyewe na Uchumi ukawa ni mzuri kushinda hata nchi za Ulaya,

Liko tatizo moja tu, tunahitaji Uongozi ambao utasema, Ufisadi, uzembe makazini, wizi serikalini, rushwa na ukwepaji Kodi sasa basi

Usimamizi mzuri wa miradi na matumizi sahihi ya mapato yetu, Tunaweza, Vyama Vyote vya Upinzani viimarishwe, tutahesabu miaka michache Tu kufika mbaali Sana kiuchumi

Marekani ni Mungu mpaka tumtetemekee?
 
Tatizo wasomi wetu wa Smart phones na wale wakwonge walio zoea hela za miasaada ya DEZO wanaona kama ni janga kwa nchi ya kiafrika kama Tanzania kuamua kujitegemea yenyewe.

Hawataki kutambua kuwa kwa kufanya hivyo wanauuza utu wao na imani ya kujiendeleza wenyewe.

Amerika haita exist mda mrefu. Kuna mambo yanachemka ndani taratibu. Ninaipa Amerika miaka kumi tu. Utasikia kitakacho tokea.
Ni upuuzi kuwa na Baba mwingine kuliko Mungu na Baba mzazi

Naendelea kusema, Misaada kutoka Ulaya na America ni mtego wa panya katika nchi zetu Africa na unatudekeza

Tunauwezo wa kujenga nchi yetu wenyewe na Uchumi ukawa ni mzuri kushinda hata nchi za Ulaya,

Liko tatizo moja tu, tunahitaji Uongozi ambao utasema, Ufisadi, uzembe makazini, wizi serikalini, rushwa na ukwepaji Kodi sasa basi

Usimamizi mzuri wa miradi na matumizi sahihi ya mapato yetu, Tunaweza, Vyama Vyote vya Upinzani viimarishwe, tutahesabu miaka michache Tu kufika mbaali Sana kiuchumi

Marekani ni Mungu mpaka tumtetemekee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tukumbushane hapa,

Balozi wa Marekani alishatoa maonyo mengi juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo hali ya demokrasia nchini, uhuru wa habari (Kabendela), mahakama kuingiliwa na kutotoa haki ikiwemo kubambikiziana kesi kwa vinogozi wa vyama pinzani, watu kupotea na kutekana, haki za watoto hasa wanaopata mimba mashuleni nk.

Ikaja baraza la Congress kumwandikia rais Magufuli mwezi Dec 2019 lakini sio Ikulu, wala wizara ya mambo ya nje iliyojibu kwa press kama walivyofanya hao wanaoitwa Mabeberu.

Jana Ikulu ya Marekani imeanza process ya kuwekea vikwazo watanzania na baadhi ya viongozi kuingia marekani ikiwa ni mwanzo wa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

Huku kujimwambafy kunatuumiza hasa sie raia kwa viongozi wazembe ambao wanakula na kulala kwa kodi zetu.

Ifike kipindi tuwaambie zile ngojera za kiwa mabeberu wanatuonea wivu ni wivu gani wakati kila kitu kinatoka kwao kuanzia teknolojia hadi wafanyakazi wa hiyo miradi tunayojidai nayo?
Yawafaa waheshimu uhuru wetu. Wenyewe wanawazonga mara CNN Twitter na kadharika je si kuingilia uhuru wa habari. Acha waamue watu waishie China. Hivi nani Amanda huko zaidi ya wapiga zumari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom